Kuvumiliana JF

Kuvumiliana JF

Status
Not open for further replies.
Siwezi jibu


Usipende kufurahisha umati kwasababu zako binafsi ninyi ndio mnafosi watu wawe wakali kuwa na mipaka broo
Special-effects-makeup-boxing-wounds-and-black-eye.jpg

mtu wa mwisho kugombana na Johnnie Walker kilichomkuta ni hiki ronadoo
 
Cold wars in JF ckuiz zimekuwa nyingi sana,Mshana Jr alishasema ukitaka kuepuka ban humu Ni Bora uache kujibizana na watukanaji,Yaani mtu akianza matusi we unamlia buyu.
Bt ukijaribu kujibizana naye lazima ban itakuhusu.
Uko sahihi, watu wamekuwa na ujinga mwingi.
Anakuchokoza kwa id moja, ukiingia mkenge anakushambulia kwa id nyingine mpya.
Huwezi kuona id kongwe ikikushambulia
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom