Kuvumiliana JF

Status
Not open for further replies.
Cold wars in JF ckuiz zimekuwa nyingi sana,Mshana Jr alishasema ukitaka kuepuka ban humu Ni Bora uache kujibizana na watukanaji,Yaani mtu akianza matusi we unamlia buyu.
Bt ukijaribu kujibizana naye lazima ban itakuhusu.
Uko sahihi, watu wamekuwa na ujinga mwingi.
Anakuchokoza kwa id moja, ukiingia mkenge anakushambulia kwa id nyingine mpya.
Huwezi kuona id kongwe ikikushambulia
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…