Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
Haki nimecheka π€£π€£π€£π€£π€£π€£ kwani kuna mtu anaishi kutegemea hela ya mwingine au ya mwanaume? Kila mtu si ana yake jamani!!!Yani nashangaa ety wanasema wana wapenzi wenye ela lkn kila siku kusuka mabutu.
Muombe msamaha Johnnie WalkerSikatai ila kwa mambo ninayo yaona humu mmmh itoshe kus...........
Endeleeni kumwaga Michele nafuatilia kwa Ukaribu......[emoji16]
π€£π€£π€£π€£Baba mmakonde na mama mmatumbi π€£ kwao kupata rangi nyeupe anajiita Half american. Kichwani anapaka picco na anatembea na Kitana mda wote anachana nyweleπ
Hamna nilichoelewa hata......Fungua code basi
Ustaarabu ni kitu cha bure kabisa Uungwana ni vitendo wala sio maneno watu wanapenda ugomviβΉοΈHESHIMA ni pamoja nakutumia lugha nzuri bila kuwatusi watu hata kama hupendi hoja zake. Wengine humu ndani wana umri sawa na baba zenu. Great Thinkers gani hwajihshimu Wala kuheshimu mawazo ya mtu mwingine
sasa hivi ukifuta Post yako ni shida tena? Uhuru uko wapi sasaSitasahau nilipigwa Ban ya miezi 7
View attachment 2579004
We jamaa una ID mpaka motoni Naikumbyka uke ya shetani mkuuπ€£π€£Kama mimi kosa liko wapi wakati niliomba msaada waleft ban kwenye akaunti hii na kweli yule niliye mwomba alifanya anachojua ban iliondolewa wakati imebakisha siku nne, nishatumia kifungo
Nikaomba basi mmerge account hizi hapo wameingia mitini na jana tena nimeomba
Fanyeni huruma Mhariri Moderator Maxence Melo
Wamefuta story ambayo nilikuwa naandika
View attachment 2579476
Ivi huwa mnajisikiaje kuharibu siku ya mtu au kuharibu sifa ya mtu mbele ya halaiki ya watu? Kwasababu zenu binafsi tu
Unataka kumalizia kwa resma yako amani sio Bantu LadyUzi unakimbia sana, naanzaje kusoma tena miye na Good Friday hii. Leo sichumi dhambi ndogo ndogo mdogo ake!!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Mkuu makosa ni yao wenyewe kabisa na bado ninazo nyingi tu nikisema niziorodheshe hapa mtashangaaWe jamaa una ID mpaka motoni Naikumbyka uke ya shetani mkuuπ€£π€£
Ahahhaha sawa chiefUle uzi unanuka achana nao kabisa pita nao mbal
Nawe ulipigwa ban?Wee bado yanii mimi nilifungua fekerooo languu chap.. π π
Odo wake nawaza, siku nikipewa Ban narudi na ID ya kiume, tongoza wote ukiwemo wewe Opps nimesahau umeifunga yako ππππππππππHapo sasa.
Nshacheka mim jamani.
Mtqke radhi Johnnie Walker. eHaya sawa acha nikae kimya labda namsingizia kweli....................