Kuvumiliana JF

Status
Not open for further replies.
Mbona nimeweka wazi tu.......
Mi nimpambe, napenda Vita.
Sina upande, naenjoy comments.
Asa hapo juu limetokea group lingine linasema wenzao wanajitapa wana mabwana wenye pesa, ila daily kusuka Mabutu πŸ˜‚πŸ˜‚.
Nisicheke mie nani eeeeh?
Aiseee kweli kabis hizi siri za watu mpaka raha 😁😁
 
Tuishi hivyo kiume. Wanaume hatusambazi maneno ya unaa au kuchafuana, una jambo njoo PM na yanaishia hukohuko.
πŸ’―πŸ’―πŸ’― Sema nili doubt ndo maana hii ishu imeshasemwa na watu 6 kwenye thread 3 tofauti ndo maana nilitaka niiamini hivyo sijui sasa ipoje πŸ€”
 
Mbona nimeweka wazi tu.......
Mi nimpambe, napenda Vita.
Sina upande, naenjoy comments.
Asa hapo juu limetokea group lingine linasema wenzao wanajitapa wana mabwana wenye pesa, ila daily kusuka Mabutu πŸ˜‚πŸ˜‚.
Nisicheke mie nani eeeeh?
Vita ya panzi furaha kwa kunguruπŸ˜€
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…