Kuvumiliana JF

Kuvumiliana JF

Status
Not open for further replies.
Mbona nimeweka wazi tu.......
Mi nimpambe, napenda Vita.
Sina upande, naenjoy comments.
Asa hapo juu limetokea group lingine linasema wenzao wanajitapa wana mabwana wenye pesa, ila daily kusuka Mabutu 😂😂.
Nisicheke mie nani eeeeh?
Aiseee kweli kabis hizi siri za watu mpaka raha 😁😁
 
Tuishi hivyo kiume. Wanaume hatusambazi maneno ya unaa au kuchafuana, una jambo njoo PM na yanaishia hukohuko.
💯💯💯 Sema nili doubt ndo maana hii ishu imeshasemwa na watu 6 kwenye thread 3 tofauti ndo maana nilitaka niiamini hivyo sijui sasa ipoje 🤔
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom