Walipa nauli sio wazima.
We huoni wanajinadi ety wakanywe dawa zao zile.
Kua makini
Acha nikae kimya tu maana wakiniban nafungua nyingine, na hiyo nyingine namtafutia pacha
Maisha yaende
Kipenzi mambo gani tena? Huenda miye siyajui japo niliwahi semwa maneno kwenye comment na sikuwa nimemchokoza mtu. Aliyeyaanza atayamaliza....Basi fanyeni haya mambo yaishe iwe amani tu
Amiina amiina, Mungu akubarikie kwa kila kitu, mfungo mwema na siku njema kwako piarafiki nakutakia ijumaa kuu njema
shukranAmiina amiina, Mungu akubarikie kwa kila kitu, mfungo mwema na siku njema kwako pia
Natokea ikwiriri mkuu nkishashiba wali nakuja jf kurefresh mindBaba mmakonde na mama mmatumbi π€£ kwao kupata rangi nyeupe anajiita Half american. Kichwani anapaka picco na anatembea na Kitana mda wote anachana nyweleπ
We unaona haya ni majadiliano kweli π€£π€£π€£π€£ daaah aseee haya bana siku njema mkuuuNinawatakia wote majadiliano mema humu
ππ mnyamwezi wa tabora, alafu ananisingizia bure sinaga demuWeee kwahyo Half american sio mnyamwezi wa mamtoni kama anavyojiita??ππ
Hapana bana nakataa, huyo mmarekani
πππππππππππ na zitawawasha sana wee ngoja ...Unajua hii wiki watu wamekula pilipili za kihindi hadi kwenye chai pilipili
Poapoa mkuuSawa mkuu asante kwa kuni criticise π― nimebadilika sasa
Ukweli siyafuatilii zaidi mtu akini quote najibu na kutuliaWe unaona haya ni majadiliano kweli π€£π€£π€£π€£ daaah aseee haya bana siku njema mkuuu
Duru zinasema na wewe umetumika kuanzisha huu uzi......We jamaa nani hao wamekianzishaπ€£
π―π―Ukweli siyafuatilii zaidi mtu akini quote najibu na kutulia