Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Walipa nauli sio wazima.
We huoni wanajinadi ety wakanywe dawa zao zile.
Kua makini
Code zimeanza funguka taratibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walipa nauli sio wazima.
We huoni wanajinadi ety wakanywe dawa zao zile.
Kua makini
Acha nikae kimya tu maana wakiniban nafungua nyingine, na hiyo nyingine namtafutia pacha
Maisha yaende
Kipenzi mambo gani tena? Huenda miye siyajui japo niliwahi semwa maneno kwenye comment na sikuwa nimemchokoza mtu. Aliyeyaanza atayamaliza....Basi fanyeni haya mambo yaishe iwe amani tu
Amiina amiina, Mungu akubarikie kwa kila kitu, mfungo mwema na siku njema kwako piarafiki nakutakia ijumaa kuu njema
shukranAmiina amiina, Mungu akubarikie kwa kila kitu, mfungo mwema na siku njema kwako pia
Natokea ikwiriri mkuu nkishashiba wali nakuja jf kurefresh mindBaba mmakonde na mama mmatumbi 🤣 kwao kupata rangi nyeupe anajiita Half american. Kichwani anapaka picco na anatembea na Kitana mda wote anachana nywele😀
We unaona haya ni majadiliano kweli 🤣🤣🤣🤣 daaah aseee haya bana siku njema mkuuuNinawatakia wote majadiliano mema humu
😂😂 mnyamwezi wa tabora, alafu ananisingizia bure sinaga demuWeee kwahyo Half american sio mnyamwezi wa mamtoni kama anavyojiita??😂😂
Hapana bana nakataa, huyo mmarekani
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 na zitawawasha sana wee ngoja ...Unajua hii wiki watu wamekula pilipili za kihindi hadi kwenye chai pilipili
Poapoa mkuuSawa mkuu asante kwa kuni criticise 💯 nimebadilika sasa
Ukweli siyafuatilii zaidi mtu akini quote najibu na kutuliaWe unaona haya ni majadiliano kweli 🤣🤣🤣🤣 daaah aseee haya bana siku njema mkuuu
Duru zinasema na wewe umetumika kuanzisha huu uzi......We jamaa nani hao wamekianzisha🤣
💯💯Ukweli siyafuatilii zaidi mtu akini quote najibu na kutulia