Hemedy Jr Junior
JF-Expert Member
- Feb 17, 2023
- 915
- 1,082
Kwanini usivumilie sasa, ukiona unamtusi mtu mapema kamuone doctor uko na ugonjwa wa akili.Kuna watu wanatabia mbaya nyie unakuta mtu umechangia mada vzuri Alf anakuja anakutukana sanasana wanaume wa hapa ndani.
Ety anakuimbia na taarabu jamani.
Inafikia hatua huwezi vumilia tena