KIDUME20
JF-Expert Member
- Mar 10, 2023
- 1,951
- 4,540
Duuuh aseeeSitasahau nilipigwa Ban ya miezi 7
View attachment 2579004
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuuh aseeeSitasahau nilipigwa Ban ya miezi 7
View attachment 2579004
Isipokuwa mm 😬😬😬Ule uzi umewaponza wengi sana😁
Inawezekana kuunganisha ID? Hili sikulijuaNilifuta comment moja tu usiku. Asubuhi nakuta nishapewa tofali la tani 7. Mimi namkosi yaani nikifuta kitu tu mods hawa hapa.
Ilibidi nifungue ID nyingine ya Criston Cole ila nilipotoka kifungoni niliomba ziungwe maana siwezi tumia I'd 2
😅 ban zilikua na arosto kinyaaaama. Mimi na ugomvi ni mafuta na maji hatuchangamani kabisa. Napenda mazingira ya amani kwenye kila kitu.Ule uzi ulikaa kichetani na ban zilikuwa zinacheka ujipendekeze zikuvae😄😄
Sikujua kuwa unajielewa kiasi hiki...shikamooMimi uzi wa kinyesi kwa sasa napita mbali maana seriuos nikichangia huwa nina maandishi makali na wale machetani kwa sasa wana kigroup chao huwa wanaitana kukushambulia🤨
Kumbe ulikuw mdau mchangiaji kwenye ule uzi?Isipokuwa mm 😬😬😬
😁 Yunge mkubwaNdugu yangu ukipewa ban nani atanitag kweny nyuzi za story?😁
Ni kweli kabisa ila mimi nimeweka ari siwezi kuvumilia aseeee ninajua uchungu wa mzazi wa ndugu na isitoshe hata wa muumba kwenye huu uchoko siwezi kuruhusu watu wajadili kama ni kitu cha kawaida hapana aseeeMimi uzi wa kinyesi kwa sasa napita mbali maana seriuos nikichangia huwa nina maandishi makali na wale machetani kwa sasa wana kigroup chao huwa wanaitana kukushambulia🤨
Kuna dogo aliniparamia jana hadi nikakasirika but nikapotezea, muda mchache nikaona wamemchoma sasa yuko kuzimuUle uzi ulikaa kichetani na ban zilikuwa zinacheka ujipendekeze zikuvae😄😄
Mpwayungu ni life ban hilo kapokea 😁😁😁 usitegemee id yake ifunguliwe tena huyoKumbe ulikuw mdau mchangiaji kwenye ule uzi?
Ila Mpwayungu Village anastahili siku nyingi sana sio kwa kuwadhalilisha walimu. .
Nasema hivyo kwakuwa najijua, face to face tu mtu akinikwaza huwa sitakagi shari japo naliweza ila huku ndio kabisa sina mda wa kujali ujinga wa mtu dhidi yangu.Mkuu usiseme hivyo yaani unajikuta mtu ana kukwanza kwa maandishi makali unashindwa kuvumilia ugomvi unaanzia hapo😃