Kuvumiliana JF

Kuvumiliana JF

Status
Not open for further replies.
Picha la kutisha 😁
Kula chuma hicho
Screenshot_20230407-005239_Gallery.jpg
 
1. mpwayungu village yuko banned
2. Ummughaka na story yake akinyi must die yuko banned
3. Cocastic yuko banned

Nimeona wengi kweli [emoji1787] Tujifunze kuwa na uvumilivu humu ndani Pamoja na kuwa hatufahamiani ila bado sisi ni wamoja JF ni yetu sote. .
Huyo Umughaka mi simjui vizuri ila hao wengine najua tu lazima wamepigwa ban na mambo yao ya kichoko. Kuna moja nahisi ni punga sese na huyo mwingine anasaga na kukoboa kutokana na mada zake humu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom