Kuvuna mbao na mkaa

Kuvuna mbao na mkaa

Kakondele

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
238
Reaction score
214
Habari wana JF natafuta partner wakushirikiana nae kuvuna miti ya mbao aina ya mbula pamoja na mkaa shamba lipo sumbawanga ni ekari 8000

kigezo kikuu uwe na mashine ya kukatia miti lengo hasa ni kuvuna hiyo miti na kuanza shughuli za kilimo pamoja na kupanda miti mingine tuwasiliane kupitia 0765032151,
 
Back
Top Bottom