Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,391
- 3,849
- Thread starter
-
- #41
Aiiiiiiiii Marianah we kiboko sana nakukubali, eti unakataa mpaka atamke mwenyewe asipotamka hukubali sasa huoni wengine watamkubali halafu utaendelea kuwakatalia. ujue mwanaume hawezi kuhisi wewe unahitaji jibu gani kutoka kwake ujue hivyo sawa kwani usimuwekee mtego ili apate walau hint kuwa ndio inahitajika?Mimi sisubiri kunogewa yaani nimemaanisha mwanaume unavyonitongoza ili nikukubalie lazima uniambie utanioa tena utamke mwenyewe siyo mimi ndiyo nikuulize na usiposema utanioa nakukatalia tu yaani kila mwanamke angekuwa anafanya hivi mbona wanaume wote mngeoa
Comon Sky Eclat naomba ukae ulaya au marekani kwa mwaka au miaka utajifunza kitu, people are not too holy hawana zinaa ngono ni kitu cha kawaida sana kama chakula wala sio cha kupanga wala kufikiria sana, western culture huku kwetu ipo tu na tumeiga sana, utaona tunaita zinaa ila mengine hatuiti dhambi mfano: Kusema uongo, kumshuhudia jirani yako uongo, kuiba cha mtu ili utumie bila ridhaa yake badae urudishe, kumchukia mwenzio, kuwa na grudges na mtu mwingine... sisi huangalia tu ngono kuwa ni zinaa mengine tunafumbia macho hatuyasemi, basi ni makubaliano tu kuwa mtaona na iwe hivyo natumai haitakuwa dhambi tena sio
Sasa kama ana mapenzi ya dhati na ni muaminifu kwanini asubiri mimi ndiyo nimtamkie anioe?Sema kutoka moyoni kwa hiyo ukimpata ambaye atakupa mapenzi ya dhati na atakuwa mwaminifu basi uko tayari kumtamkia akuoe sio
Wanataka sana kuoa isipokuwa wanawake tu ndio wanasema wanachungulia mfuko kama hauko sawa wanasepa nimekusanya maoni mengi sana
Marianah natumai unachagua mwanaume wa kuwa naye, unamtathmini kama kweli atakuwa serious na kumchunguza kabla hujamvulia chupi, tatizo linalofanya wasichana kudharaulika nafikiri inaweza ikawa labda sababu ya shida maana muda wa kumchunguza anakuwa hana. lazima uwe na mwanaume ambaye unajua huyu hatanitolea siri nje au kunisema vibaya mchunguze kabla ya kulala naya jipe muda wa kutosha lazima utamjua tu kuwa huyu maneno mengi atanitolea nje au laSasa mbona mkishafanya hiyo ngono mnaanza kuwadharau wanawake huku wanaume mkizidi kuheshimika? Wazungu hawaoni shida kupeana kwa sababu wanawake waliotembea na wanaume wengi hawadharauliki wala hawaitwi malaya na wanaolewa vizuri tu ila huku utaambiwa wanawake wa aina hiyo hawafai kuolewa eti wana mabwawa sijui manini mnajua wenyewe!
Aiiiiiiiii Marianah we kiboko sana nakukubali, eti unakataa mpaka atamke mwenyewe asipotamka hukubali sasa huoni wengine watamkubali halafu utaendelea kuwakatalia. ujue mwanaume hawezi kuhisi wewe unahitaji jibu gani kutoka kwake ujue hivyo sawa kwani usimuwekee mtego ili apate walau hint kuwa ndio inahitajika?
kwani yeye atajiona ana mapenzi ya dhati au wewe ndio utafanya tathmini na kuona anayo hayo mapenzi ya dhati yeye anatekeleza na huenda ukaona sio ya dhati kwake. Mwanamke ukipenda na ukifurahishwa na mwanaume lazima umuombe kuoana au kuwa pamoja kufunga pingu sio swala la aibuSasa kama ana mapenzi ya dhati na ni muaminifu kwanini asubiri mimi ndiyo nimtamkie anioe?
Hivi kwani siku zote anayetakiwa kutangaza ndoa ni mwanaume au mwanamke?
Mwanamke huwa ana muda alio upanga kuwa kwa sasa mm inabidi niolewe au muda umefika mwanaume atajuaje usipokuwa muwazi wewe? tatizo lako ni aibu kumwambia mwanaume kuwa bhanae kama vipi tuoane basi hilo tuMtego gani sasa? Wanaume siyo kwamba hamjui kuwa wanawake wanataka kuolewa mnajua sana ila hamtaki kuwaoa mnataka kupiga na kusepa au kuzalisha na kuacha!
Sasa kama mnaangalia usalama na umejiridhisha kuwa hapa utakuwa salama kwanini usimuombe muoaneNdiyo acha wachungulie tu maana wanaume wa siku hizi mmezidi uhuni na ubinafsi kwahiyo na wanawake nao wanaangalia usalama wao
Marianah natumai unachagua mwanaume wa kuwa naye, unamtathmini kama kweli atakuwa serious na kumchunguza kabla hujamvulia chupi, tatizo linalofanya wasichana kudharaulika nafikiri inaweza ikawa labda sababu ya shida maana muda wa kumchunguza anakuwa hana. lazima uwe na mwanaume ambaye unajua huyu hatanitolea siri nje au kunisema vibaya mchunguze kabla ya kulala naya jipe muda wa kutosha lazima utamjua tu kuwa huyu maneno mengi atanitolea nje au la
kwani yeye atajiona ana mapenzi ya dhati au wewe ndio utafanya tathmini na kuona anayo hayo mapenzi ya dhati yeye anatekeleza na huenda ukaona sio ya dhati kwake. Mwanamke ukipenda na ukifurahishwa na mwanaume lazima umuombe kuoana au kuwa pamoja kufunga pingu sio swala la aibu
Sasa nikimwambia anioe si ndiyo kama hivyo likitokea la kutokea asiponioa ataenda kunifungulia mashitaka?Mwanamke huwa ana muda alio upanga kuwa kwa sasa mm inabidi niolewe au muda umefika mwanaume atajuaje usipokuwa muwazi wewe? tatizo lako ni aibu kumwambia mwanaume kuwa bhanae kama vipi tuoane basi hilo tu
Jamii sasa watu wapo katika mazingira tofauti kuna uswazi, kuna uzunguni, kuna pwani, kuna maeneo ya wavuvi, kuna maeneo ya migodi...ukimzaa mtoto kutokana na mazingira alipo lazima umpe elimu ya kutojiachi kiurahisiWewe ndiyo unasema hivyo ila je Jamii inasemaje?
Kaka yupi tena huyooooooo funguka basiWe kakaa unajifanya hujaona hii sheria eee..we jifanye unajikausha,uliniambia harusi mwezi wa saba mpk leo teeh
Sasa kama mnaangalia usalama na umejiridhisha kuwa hapa utakuwa salama kwanini usimuombe muoane
Kwani tamaduni za kiafrika zinatakaje?Jamii sasa watu wapo katika mazingira tofauti kuna uswazi, kuna uzunguni, kuna pwani, kuna maeneo ya wavuvi, kuna maeneo ya migodi...ukimzaa mtoto kutokana na mazingira alipo lazima umpe elimu ya kutojiachi kiurahisi