Comon
Sky Eclat naomba ukae ulaya au marekani kwa mwaka au miaka utajifunza kitu, people are not too holy hawana zinaa ngono ni kitu cha kawaida sana kama chakula wala sio cha kupanga wala kufikiria sana, western culture huku kwetu ipo tu na tumeiga sana, utaona tunaita zinaa ila mengine hatuiti dhambi mfano: Kusema uongo, kumshuhudia jirani yako uongo, kuiba cha mtu ili utumie bila ridhaa yake badae urudishe, kumchukia mwenzio, kuwa na grudges na mtu mwingine... sisi huangalia tu ngono kuwa ni zinaa mengine tunafumbia macho hatuyasemi, basi ni makubaliano tu kuwa mtaona na iwe hivyo natumai haitakuwa dhambi tena sio