Kuvunja ahadi ya kuoa au kuolewa: Sheria inasemaje?

Mimi sisubiri kunogewa yaani nimemaanisha mwanaume unavyonitongoza ili nikukubalie lazima uniambie utanioa tena utamke mwenyewe siyo mimi ndiyo nikuulize na usiposema utanioa nakukatalia tu yaani kila mwanamke angekuwa anafanya hivi mbona wanaume wote mngeoa
Aiiiiiiiii Marianah we kiboko sana nakukubali, eti unakataa mpaka atamke mwenyewe asipotamka hukubali sasa huoni wengine watamkubali halafu utaendelea kuwakatalia. ujue mwanaume hawezi kuhisi wewe unahitaji jibu gani kutoka kwake ujue hivyo sawa kwani usimuwekee mtego ili apate walau hint kuwa ndio inahitajika?
 
Sasa mbona mkishafanya hiyo ngono mnaanza kuwadharau wanawake huku wanaume mkizidi kuheshimika? Wazungu hawaoni shida kupeana kwa sababu wanawake waliotembea na wanaume wengi hawadharauliki wala hawaitwi malaya na wanaolewa vizuri tu ila huku utaambiwa wanawake wa aina hiyo hawafai kuolewa eti wana mabwawa sijui manini mnajua wenyewe!
Comon Sky Eclat naomba ukae ulaya au marekani kwa mwaka au miaka utajifunza kitu, people are not too holy hawana zinaa ngono ni kitu cha kawaida sana kama chakula wala sio cha kupanga wala kufikiria sana, western culture huku kwetu ipo tu na tumeiga sana, utaona tunaita zinaa ila mengine hatuiti dhambi mfano: Kusema uongo, kumshuhudia jirani yako uongo, kuiba cha mtu ili utumie bila ridhaa yake badae urudishe, kumchukia mwenzio, kuwa na grudges na mtu mwingine... sisi huangalia tu ngono kuwa ni zinaa mengine tunafumbia macho hatuyasemi, basi ni makubaliano tu kuwa mtaona na iwe hivyo natumai haitakuwa dhambi tena sio
 
Kiranga sagaciR Suala la ndoa ni muunganiko unaohitaji ridhaa ya mwanaume na mwanamke (au wanawake kama ndoa ni ya mke zaidi ya mmoja). Lord Kenyon katika kesi ya Atchinson v. Baker alisema, nanukuu; “….it would be most mischievous to compel parties marry who could never live happily together.” Maneno haya yanadhihirisha kua hakuna sheria au mamlaka yoyote inayoweza kulazimisha watu kuoana, isipokua kwa ridhaa yao na pia kuzingatia misingi na vigezo vingine vilivyowekwa na kutambuliwa kisheria. Kimsingi, andiko hili linalenga kukupa mwanga juu ya namna gani suala la kuvunja ahadi ya ndoa (breach of promise to marry) linatambulika na kushughulikiwa kwa mujibu wa sheria za Tanzania, hasa sheria ya ndoa ya mwaka 1971 na kueleza kwa kifupi haki za wahusika katika uchumba huo pindi ahadi kuoana inapovunjika.
 
Sema kutoka moyoni kwa hiyo ukimpata ambaye atakupa mapenzi ya dhati na atakuwa mwaminifu basi uko tayari kumtamkia akuoe sio
Sasa kama ana mapenzi ya dhati na ni muaminifu kwanini asubiri mimi ndiyo nimtamkie anioe?

Hivi kwani siku zote anayetakiwa kutangaza ndoa ni mwanaume au mwanamke?
 
Ndiyo acha wachungulie tu maana wanaume wa siku hizi mmezidi uhuni na ubinafsi kwahiyo na wanawake nao wanaangalia usalama wao
Wanataka sana kuoa isipokuwa wanawake tu ndio wanasema wanachungulia mfuko kama hauko sawa wanasepa nimekusanya maoni mengi sana
 
Sasa mbona mkishafanya hiyo ngono mnaanza kuwadharau wanawake huku wanaume mkizidi kuheshimika? Wazungu hawaoni shida kupeana kwa sababu wanawake waliotembea na wanaume wengi hawadharauliki wala hawaitwi malaya na wanaolewa vizuri tu ila huku utaambiwa wanawake wa aina hiyo hawafai kuolewa eti wana mabwawa sijui manini mnajua wenyewe!
Marianah natumai unachagua mwanaume wa kuwa naye, unamtathmini kama kweli atakuwa serious na kumchunguza kabla hujamvulia chupi, tatizo linalofanya wasichana kudharaulika nafikiri inaweza ikawa labda sababu ya shida maana muda wa kumchunguza anakuwa hana. lazima uwe na mwanaume ambaye unajua huyu hatanitolea siri nje au kunisema vibaya mchunguze kabla ya kulala naya jipe muda wa kutosha lazima utamjua tu kuwa huyu maneno mengi atanitolea nje au la
 
Mtego gani sasa? Wanaume siyo kwamba hamjui kuwa wanawake wanataka kuolewa mnajua sana ila hamtaki kuwaoa mnataka kupiga na kusepa au kuzalisha na kuacha!
Aiiiiiiiii Marianah we kiboko sana nakukubali, eti unakataa mpaka atamke mwenyewe asipotamka hukubali sasa huoni wengine watamkubali halafu utaendelea kuwakatalia. ujue mwanaume hawezi kuhisi wewe unahitaji jibu gani kutoka kwake ujue hivyo sawa kwani usimuwekee mtego ili apate walau hint kuwa ndio inahitajika?
 
Sasa kama ana mapenzi ya dhati na ni muaminifu kwanini asubiri mimi ndiyo nimtamkie anioe?

Hivi kwani siku zote anayetakiwa kutangaza ndoa ni mwanaume au mwanamke?
kwani yeye atajiona ana mapenzi ya dhati au wewe ndio utafanya tathmini na kuona anayo hayo mapenzi ya dhati yeye anatekeleza na huenda ukaona sio ya dhati kwake. Mwanamke ukipenda na ukifurahishwa na mwanaume lazima umuombe kuoana au kuwa pamoja kufunga pingu sio swala la aibu
 
Mtego gani sasa? Wanaume siyo kwamba hamjui kuwa wanawake wanataka kuolewa mnajua sana ila hamtaki kuwaoa mnataka kupiga na kusepa au kuzalisha na kuacha!
Mwanamke huwa ana muda alio upanga kuwa kwa sasa mm inabidi niolewe au muda umefika mwanaume atajuaje usipokuwa muwazi wewe? tatizo lako ni aibu kumwambia mwanaume kuwa bhanae kama vipi tuoane basi hilo tu
 
Ndiyo acha wachungulie tu maana wanaume wa siku hizi mmezidi uhuni na ubinafsi kwahiyo na wanawake nao wanaangalia usalama wao
Sasa kama mnaangalia usalama na umejiridhisha kuwa hapa utakuwa salama kwanini usimuombe muoane
 
Wakati wewe unamchunguza huku mwenzio anakuomba chini na wanaume wengine wanakwambia kabisa hawawezi kusubiri zaidi ya wiki mbili eti wanawake hawawapi chini yaani wanataka wakitongoza wapewe wasizungushwe na wakizungushwa wanaondoka sasa wakikutana na wale wanawake wenye shida sana na ndoa lazima wakubali tu kuvua chupi maana wanaogopa wanaweza achwa huku wanachunguza
Marianah natumai unachagua mwanaume wa kuwa naye, unamtathmini kama kweli atakuwa serious na kumchunguza kabla hujamvulia chupi, tatizo linalofanya wasichana kudharaulika nafikiri inaweza ikawa labda sababu ya shida maana muda wa kumchunguza anakuwa hana. lazima uwe na mwanaume ambaye unajua huyu hatanitolea siri nje au kunisema vibaya mchunguze kabla ya kulala naya jipe muda wa kutosha lazima utamjua tu kuwa huyu maneno mengi atanitolea nje au la
 
Wewe ndiyo unasema hivyo ila je Jamii inasemaje?
kwani yeye atajiona ana mapenzi ya dhati au wewe ndio utafanya tathmini na kuona anayo hayo mapenzi ya dhati yeye anatekeleza na huenda ukaona sio ya dhati kwake. Mwanamke ukipenda na ukifurahishwa na mwanaume lazima umuombe kuoana au kuwa pamoja kufunga pingu sio swala la aibu
 
We kakaa unajifanya hujaona hii sheria eee..we jifanye unajikausha,uliniambia harusi mwezi wa saba mpk leo teeh
 
Mwanamke huwa ana muda alio upanga kuwa kwa sasa mm inabidi niolewe au muda umefika mwanaume atajuaje usipokuwa muwazi wewe? tatizo lako ni aibu kumwambia mwanaume kuwa bhanae kama vipi tuoane basi hilo tu
Sasa nikimwambia anioe si ndiyo kama hivyo likitokea la kutokea asiponioa ataenda kunifungulia mashitaka?
 
Wewe ndiyo unasema hivyo ila je Jamii inasemaje?
Jamii sasa watu wapo katika mazingira tofauti kuna uswazi, kuna uzunguni, kuna pwani, kuna maeneo ya wavuvi, kuna maeneo ya migodi...ukimzaa mtoto kutokana na mazingira alipo lazima umpe elimu ya kutojiachi kiurahisi
 
Wee nani kasema? Wanaume wenyewe wa siku hizi walivyo washenzi hivi unadhani ni rahisi kuwajua?
Sasa kama mnaangalia usalama na umejiridhisha kuwa hapa utakuwa salama kwanini usimuombe muoane
 
Kama unaamini hutaenda kwingine utamwambia lakutokea unakaza roho tu unabaki na wakwako au unabaki kuwa mwaminifu sawa
 
Jamii sasa watu wapo katika mazingira tofauti kuna uswazi, kuna uzunguni, kuna pwani, kuna maeneo ya wavuvi, kuna maeneo ya migodi...ukimzaa mtoto kutokana na mazingira alipo lazima umpe elimu ya kutojiachi kiurahisi
Kwani tamaduni za kiafrika zinatakaje?
 
Back
Top Bottom