OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Noma sana !Wiki iliyopita Spika alivunja baadhi ya Kamati za Bunge na kuziunda upya. Ikumbukwe kwamba kamati hizo zilivunjwa wakati vikao vya kamati vikiendelea sambamba na taasisi za serikali kuhojiwa mbele ya kamati.
Vyanzo vyangu vimeniambia kwamba wabunge wa kamati walizungukana na kuvuta takrima kwa maafisa masuuli. Wabunge ambao hawakuvuta walichachamaa na taarifa kumfikia spika ambaye alichukua hatua ya kuvunja kamati.
Hoja kwa Spika
Kwani sheria za kudeal na rushwa zimebadilika? Nikafikiri walitakiwa kukabidhiwa PCCB
Kwa hiyoMsigwa aliwahi kuvuta pesa
Lissu pia
Mnyika ndio usiseme
Kwa mujibu wa kanuni za kudumu za Bunge, kamati za Bunge huwa zina vunjwa na kuundwa upya from time to time, hivyo sababu ya kuzivunja na kuziunda upya sio lazima ziwe ni hiyo!.Wiki iliyopita Spika alivunja baadhi ya Kamati za Bunge na kuziunda upya. Ikumbukwe kwamba kamati hizo zilivunjwa wakati vikao vya kamati vikiendelea sambamba na taasisi za serikali kuhojiwa mbele ya kamati.
So what ?Msigwa aliwahi kuvuta pesa
Lissu pia
Mnyika ndio usiseme
Itakuwa ni kumdhalilisha sana mzee wa watu , azunguke nchi nzima kukusanya maoni ya wananchi , leo aje kukaa kwenye KIKAO CHA HARUSI cha akina Mukandara !"Mzee Warioba ajumuishwe kwenye kikosi kazi cha mkandala mchakato wa katiba mpya ukamilike mapema"
Wiki iliyopita Spika alivunja baadhi ya Kamati za Bunge na kuziunda upya. Ikumbukwe kwamba kamati hizo zilivunjwa wakati vikao vya kamati vikiendelea sambamba na taasisi za serikali kuhojiwa mbele ya kamati.
Vyanzo vyangu vimeniambia kwamba wabunge wa kamati walizungukana na kuvuta takrima kwa maafisa masuuli. Wabunge ambao hawakuvuta walichachamaa na taarifa kumfikia spika ambaye alichukua hatua ya kuvunja kamati.
Hoja kwa Spika
Kwani sheria za kudeal na rushwa zimebadilika? Nikafikiri walitakiwa kukabidhiwa PCCB
Maisha ni magumu na haliwezi kushauri serikali bali kuitetea na kujipendekeza kwa serikali.kuna dhulma(covid 19),
damu ilimwagika(lisu),
kuingiliwa uongozi(nduguyai),
wizi(kura ziliibwa) nk. nk.
Ulisema hutaki ukuu wa wilaya sasa inakuwaje mkuu?!Kwa mujibu wa kanuni za kudumu za Bunge, kamati za Bunge huwa zina vunjwa na kuundwa upya from time to time, hivyo sababu ya kuzivunja na kuziunda upya sio lazima ziwe ni hiyo!.
Pili uwezeshaji wowote wa kamati hufanyika kwa kamati nzima by way of seminar, warsha, kongamano, facility visit, study tour or training trips abroad. Hii sio rushwa ni capacity building.
P
Kwa hiyo kwioKwa hiyo
Wanapaswa kuwa jela kwa kuchukua mlungulaSo what ?
Sasa kama amekataa ulitaka wampigie magoti?"Mzee Warioba ajumuishwe kwenye kikosi kazi cha mkandala mchakato wa katiba mpya ukamilike mapema"
Tunajua una ujinga,ila jitahidi kuufichaKwa hiyo kwio