OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Wiki iliyopita Spika alivunja baadhi ya Kamati za Bunge na kuziunda upya. Ikumbukwe kwamba kamati hizo zilivunjwa wakati vikao vya kamati vikiendelea sambamba na taasisi za serikali kuhojiwa mbele ya kamati.
Vyanzo vyangu vimeniambia kwamba wabunge wa kamati walizungukana na kuvuta takrima kwa maafisa masuuli. Wabunge ambao hawakuvuta walichachamaa na taarifa kumfikia spika ambaye alichukua hatua ya kuvunja kamati.
Hoja kwa Spika
Kwani sheria za kudeal na rushwa zimebadilika? Nikafikiri walitakiwa kukabidhiwa PCCB