uwenda maana siwaoni siku hizi
ila pia kama ni kupumzika kwa muda wangetangaza
Kwahiyo nani anafanya nn kwa sasa. Si mnataka tujadili watu?
Hivi yule aliyekuwa anamuigiza mrema yuko wapi jamani. Mara ya mwisho ilisemekana ameenda matibabu India. Mwenye kujua tafadhali
Pole zetu mkuu... Saiv pesa sio shule, pesa ni akili!