MaliShambani
Member
- Jun 25, 2014
- 55
- 19
Laana ya usaliti itakufuata popote ulipo.
Wapi wamesaliti mkuu?
labda mimi ndio sijui maana ya usaliti...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Laana ya usaliti itakufuata popote ulipo.
Wapi wamesaliti mkuu?
labda mimi ndio sijui maana ya usaliti...
We mtoto wa bavicha chunga mdomo wako.....Mpaka leo Tanzania ina Amani tele ni kwasababu
ccm inaitunza na kuiheshimu.
Dah!
Dunia Kweli Haiko Sawa Yaani Mm Na Kukesha Kwangu Kote Mashuleni Hadi Chuo Nalipwa Laki Tano Kwa Mwezi Joti Kazi Ya Wiki Analipwa Karibia Milioni Mia,
Kweli Ubepari Ni Unyonyaji