Kuvunjika kwa kundi la vichekesho la Orijino Komedi

Kuvunjika kwa kundi la vichekesho la Orijino Komedi

Jamaa walikuwa wanafunga mitaa watoto wote ndani kuona shoo.
 
Dah!
Dunia Kweli Haiko Sawa Yaani Mm Na Kukesha Kwangu Kote Mashuleni Hadi Chuo Nalipwa Laki Tano Kwa Mwezi Joti Kazi Ya Wiki Analipwa Karibia Milioni Mia,
Kweli Ubepari Ni Unyonyaji

hahahahahaha, nakumbuka kitabu kimoja kinaitwa "IF YOU WANT TO BE RICH DON`T GO TO SCHOOL", school kills talents.
 
Back
Top Bottom