Haswaaaa. Vengu yuko wapi jamaniUnamzungumzia Vengu???
Lengo si kujadili mtu Jile79 ila ni mashabiki wao kupata uhakika kama kundi limevunjika ama?
Hebu jifunze kuandika kwanza unaposema kila mtu alikuwa hang'oki kwenye Tv kwahiyo na mimi umenijumuisha humo?Hakuna ubishi kua miaka michache iliyopita kund la Orijino Komedi ndio lenye mashabiki wengi hapa nchini. Ilikua ikifika mda wa kurushwa kipindi kila mtu alikua hangoki Katika TV yake. Umaarufu wao uliongezeka zaid pale walipohama EATV na kuhamia TBC. Umaarufu wao uliendelea kuwepo hadi siku zq karibuni ambapo ulishuka kwa kasi sana, taarifa ambazo Bongoclan tumezipata ni kua kwa sasa kundi hilo limevunjika na kila mtu anafanya kazi kivyake. Chanzo chetu kutoka kituo cha TV walichokua wakifanya kazi kiasema kua kwa sasa kila mtu ana hamsini zake na hawafanyi kazi tena pamoja
Hebu jifunze kuandika jwanza unaposema kila mtu alikuwa hang'oki kwenye Tv kwahiyo na mimi umenijumuisha humo?
hapo naona walioumia ni watatu
1. wakuyywanga
2.Makregan
3.na huyo mgonjwa.