Kuvunjika kwa kundi la vichekesho la Orijino Komedi

Kuvunjika kwa kundi la vichekesho la Orijino Komedi

Tetetetete tena kwa sisi ambao bado tunapiga msuli ngoja tuendelee kubishana na ligi za vyuo mara #TeamUDOM sijui #TeamUDSM then mwisho wa siku tukutane pale uwanja wa taifa kwenye mishe za uhamiaji na huku upande wa pili vijana wa kitaa kama Joti wanapiga hela tu.

Sitaki kazi by Nikki wa II.
 
Mkuu rekebisha hapo ktk green! hawauziki kwenye eneo lolote, wanauzika maeneo mengi!
 
Lengo si kujadili mtu Jile79 ila ni mashabiki wao kupata uhakika kama kundi limevunjika ama?

Mkuu, litafufuka wakati wa kampeni. C wajua chama cha mainterahamwe kinawatumia sana kuvuta watu!


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Hakuna ubishi kua miaka michacheiliyopita kund la Orijino Komedi ndio lenye mashabiki wengi hapa nchini. Ilikua ikifika mda wa kurushwa kipindi kila mtu alikua hangoki Katika TV yake. Umaarufu wao uliongezeka zaid palewalipohama EATV na kuhamia TBC.

Umaarufuwao uliendelea kuwepohadi siku za karibuni ambapo ulishuka kwakasi sana, taarifa ambazo Bongoclan tumezipata ni kua kwa sasa kundi hilo limevunjika na kila mtu anafanyakazi kivyake. Chanzo chetu kutoka kituo cha TV walichokua wakifanyakazi kiasema kua kwa sasa kila mtu ana hamsini zake na hawafanyikazi tena pamoja
 
origino_komedi.jpg
 
Hakuna ubishi kua miaka michache iliyopita kund la Orijino Komedi ndio lenye mashabiki wengi hapa nchini. Ilikua ikifika mda wa kurushwa kipindi kila mtu alikua hangoki Katika TV yake. Umaarufu wao uliongezeka zaid pale walipohama EATV na kuhamia TBC. Umaarufu wao uliendelea kuwepo hadi siku zq karibuni ambapo ulishuka kwa kasi sana, taarifa ambazo Bongoclan tumezipata ni kua kwa sasa kundi hilo limevunjika na kila mtu anafanya kazi kivyake. Chanzo chetu kutoka kituo cha TV walichokua wakifanya kazi kiasema kua kwa sasa kila mtu ana hamsini zake na hawafanyi kazi tena pamoja
Hebu jifunze kuandika kwanza unaposema kila mtu alikuwa hang'oki kwenye Tv kwahiyo na mimi umenijumuisha humo?
 
walikuwa wanajisikia sana Vengu sijui wamemtoa kafara maskini mpaka habari zake zpo kimya a
 
Goodbye Orjinal komedi nitawakumbuka daima youtube na wanangu.
 
Na huyo Masanja aliyejiita mchungaji laana ya Usaliti na kumtukana Mzee Mengi itamtafuna huko huko kwenye huo Uchungaji wake feki..
 
Kumbe ndo maana mwingine Kawa Mchungaji, Mwingine karibu kila siku namuona pale kwenye Duka lake......
 
Back
Top Bottom