M MaliShambani Member Joined Jun 25, 2014 Posts 55 Reaction score 19 Aug 19, 2014 #81 KakaJambazi said: Laana ya usaliti itakufuata popote ulipo. Click to expand... Wapi wamesaliti mkuu? labda mimi ndio sijui maana ya usaliti...
KakaJambazi said: Laana ya usaliti itakufuata popote ulipo. Click to expand... Wapi wamesaliti mkuu? labda mimi ndio sijui maana ya usaliti...
KakaJambazi JF-Expert Member Joined Jun 5, 2009 Posts 18,804 Reaction score 12,227 Aug 19, 2014 #82 MaliShambani said: Wapi wamesaliti mkuu? labda mimi ndio sijui maana ya usaliti... Click to expand... Hao ni wapiga debe wa maccm.
MaliShambani said: Wapi wamesaliti mkuu? labda mimi ndio sijui maana ya usaliti... Click to expand... Hao ni wapiga debe wa maccm.
Chivundu Platinum Member Joined Dec 17, 2012 Posts 7,781 Reaction score 6,966 Aug 20, 2014 #83 Jamaa walikuwa wanafunga mitaa watoto wote ndani kuona shoo.
dolevaby JF-Expert Member Joined Aug 25, 2013 Posts 12,958 Reaction score 9,516 Aug 20, 2014 #84 Mandla Jr. said: We mtoto wa bavicha chunga mdomo wako.....Mpaka leo Tanzania ina Amani tele ni kwasababu ccm inaitunza na kuiheshimu. Click to expand... Utulivu sio AMANI....
Mandla Jr. said: We mtoto wa bavicha chunga mdomo wako.....Mpaka leo Tanzania ina Amani tele ni kwasababu ccm inaitunza na kuiheshimu. Click to expand... Utulivu sio AMANI....
thanksme Senior Member Joined Jan 30, 2012 Posts 130 Reaction score 41 Aug 20, 2014 #85 Tudai Haki said: Dah! Dunia Kweli Haiko Sawa Yaani Mm Na Kukesha Kwangu Kote Mashuleni Hadi Chuo Nalipwa Laki Tano Kwa Mwezi Joti Kazi Ya Wiki Analipwa Karibia Milioni Mia, Kweli Ubepari Ni Unyonyaji Click to expand... hahahahahaha, nakumbuka kitabu kimoja kinaitwa "IF YOU WANT TO BE RICH DON`T GO TO SCHOOL", school kills talents.
Tudai Haki said: Dah! Dunia Kweli Haiko Sawa Yaani Mm Na Kukesha Kwangu Kote Mashuleni Hadi Chuo Nalipwa Laki Tano Kwa Mwezi Joti Kazi Ya Wiki Analipwa Karibia Milioni Mia, Kweli Ubepari Ni Unyonyaji Click to expand... hahahahahaha, nakumbuka kitabu kimoja kinaitwa "IF YOU WANT TO BE RICH DON`T GO TO SCHOOL", school kills talents.