Usizungumze au kuandika mambo kijumla jumla kwa mapenzi yako...Rais Samia amebadilisha uelekeo wa soka letu kwa kutia juhudi binafsi kusuma michezo Tanzania. Hakuna asiyefahamu kuwa watu wa taifa letu wamegawanyika kwenye ushabiki wa simba na yanga kwa mamilioni.
Mtu kuahirisha mechi ya simba na yanga bila shaka anadhamiria yatokee mambo mabaya sana kwa taifa kisiasa, kimichezo, kiuchumi na kiusalama, hafai kuwepo hapo alipo kama yeye ni kiongozi wa mpira au serikali.
Lazima deep state ihangaike na watu hawa kama inavyohangaika na magaidi; maana iko siku watasababisha maafa makubwa sana nchini. Tusipende kusubiri yaharibike ndio tutoe vichwa vyetu mchangani.
Mchelea mwana kulia atalia yeye.
Ni wasomali?Bila shaka walio vuruga watakua sio watanzania wenzetu
Raia mwenye asili ya Somalia...ndiyo chanzo 🤣🤣🤣Bila shaka walio vuruga watakua sio watanzania wenzetu
tutahoji uraia wako, Afande CDF alisema kuna watu sio raia lakini wameshikilia madaraka makubwa katika ngazi za maamuzi. Usifiki CDF alikuwa kichaa kutoa taarifa ile. Inawezekana baadhi ya watu hao yumo wewe na wengine wamejichimbia TFF wanatafuta namna ya kulisukumiza taifa kwenye maafa kwakutumia michezo.Usizungumze au kuandika mambo kijumla jumla kwa mapenzi yako...
Nani kakuambia kuwa watu wa taifa hili wote wamegawanyika ktk makundi mawili simba na yanga...?
Mimi sipo simba wala yanga na huwa sina hata taimu ya kufuatilia na kuumizwa na moja ya timu hizo. Wapo mamilioni ya watu wengine wala hata hawajui kama kuna timu ya mpira inaitwa simba au yanga. Kwa hiyo, statement yako ya "watu wote tumegawanyika aidha simba au yanga" sio ya kweli. Ni ninyi tu mliokwishaga logwa na mpira ndo mmegawanyika makundi hayo, na sio watu wote...!!
For instance, mimi nikikuta au kuwaona wanacheza, it's ok nitawaangalia na kuburudisha macho yangu kwa wakati huo na biashara inaishia hapo...
Lakini kuifanya simba au yanga kuwa ni dini yangu kiasi cha kuifuatilia kila siku kama Mungu wangu, HAPANA...
nitakuwa wa mwisho kukubaliana na wewe. CCM ni Kikwete na Kikwete ni Yanga na yeye derby ilimuudhi pia. Unaongea CCM ya akina nani wewe?Kwa taarifa yako system ndiyo inapenda kuona mkivutana,mkijadili mambo ya simba yanga
Huko walipo wanacheka tu
Ova
Haa haa🤪🤪🤪tutahoji uraia wako, Afande CDF alisema kuna watu sio raia lakini wameshikilia madaraka makubwa katika ngazi za maamuzi. Usifiki CDF alikuwa kichaa kutoa taarifa ile. Inawezekana baadhi ya watu hao yumo wewe na wengine wamejichimbia TFF wanatafuta namna ya kulisukumiza taifa kwenye maafa kwakutumia michezo.
Fuvu limejazwa watermelon!! 🍉Haa haa🤪🤪🤪
Kwa sababu tu sijui kama kuna timu ya mpira inaitwa Yanga au Simba..?
Endelea kujihoji tu...
Lakini, the fact ni kuwa kuna mamilioni hata hawajui kama kuna timu ya mpira inaitwa Yanga au Simba...!!
Naunga mkono hoja. Nashangaa mpaka Sasa Bodi iko ofisini.Rais Samia amebadilisha uelekeo wa soka letu kwa kutia juhudi binafsi kusuma michezo Tanzania. Hakuna asiyefahamu kuwa watu wa taifa letu wamegawanyika kwenye ushabiki wa simba na yanga kwa mamilioni.
Mtu kuahirisha mechi ya simba na yanga bila shaka anadhamiria yatokee mambo mabaya sana kwa taifa kisiasa, kimichezo, kiuchumi na kiusalama, hafai kuwepo hapo alipo kama yeye ni kiongozi wa mpira au serikali.
Lazima deep state ihangaike na watu hawa kama inavyohangaika na magaidi; maana iko siku watasababisha maafa makubwa sana nchini. Tusipende kusubiri yaharibike ndio tutoe vichwa vyetu mchangani.
Mchelea mwana kulia atalia yeye.
Faida za simba na yanga kwako binafsi ni zipi?😳Rais Samia amebadilisha uelekeo wa soka letu kwa kutia juhudi binafsi kusuma michezo Tanzania. Hakuna asiyefahamu kuwa watu wa taifa letu wamegawanyika kwenye ushabiki wa simba na yanga kwa mamilioni.
Mtu kuahirisha mechi ya simba na yanga bila shaka anadhamiria yatokee mambo mabaya sana kwa taifa kisiasa, kimichezo, kiuchumi na kiusalama, hafai kuwepo hapo alipo kama yeye ni kiongozi wa mpira au serikali.
Lazima deep state ihangaike na watu hawa kama inavyohangaika na magaidi; maana iko siku watasababisha maafa makubwa sana nchini. Tusipende kusubiri yaharibike ndio tutoe vichwa vyetu mchangani.
Mchelea mwana kulia atalia yeye.
Vipi Yanga na Simba wangecheza Ile Machi 8, 2025, Mhe. SSH angetrend katika kilele cha siku ya wanawake pale Arusha?! Siku ya wanawake ingekuwa historia na story ingekuwa matokeo ya mechi ya Yanga na Simba.Rais Samia amebadilisha uelekeo wa soka letu kwa kutia juhudi binafsi kusuma michezo Tanzania. Hakuna asiyefahamu kuwa watu wa taifa letu wamegawanyika kwenye ushabiki wa simba na yanga kwa mamilioni.