Kuwa bosi isiwe sababu ya kutuhukumu sisi wanywa pombe. Harufu ya pombe sio kulewa. Wewe kutokunywa isiwe kigezo cha kutufokea

Kuwa bosi isiwe sababu ya kutuhukumu sisi wanywa pombe. Harufu ya pombe sio kulewa. Wewe kutokunywa isiwe kigezo cha kutufokea

Kuingia ofisini bado unanuka pombe, kuna mawili, aidha umekesha unalewa ama umezimua wakati ukija ofini, kwa hiyo umeianza kalenda ya leo ukinywa pombe.

Nilipokuwa boss nishatandika sana viboko walevi kama nyie, ukiwa boss ukafokafoka staff wanakuzoea.

Viboko sitandiki kigomvi, natandika kirafiki tena kwa makubaliano, kama ni ubabe na mimi nilikuwa mbabe vile vile na sheria ya mamlaka inanibeba.

Tunakaa mezani tuna negotiate, nakuuliza, 'maonyo yote niliyokupa ya kuachana na ulevi kwanini haujirekebishi, sasa nimekuvumilia nimefika mwisho...
'chagua conditions hizi mbili, 'nikuandikie dissmisal au nikutandike mboko?'

Tena namueleza 'iwe siri yangu mi na wewe pamoja na ofisi'

Na ninamkumbusha athari za kifamilia zitakazotokana na kutimuliwa kwake ama kusimamishwa kazi.

Unakuta jamaa anasema nipige tu mkuu yaishe.

Tukiwa wawili tu, kiboko kinatafutwa kisha mlango unafungwa.

Naburuza mboko hadi mkojo.

Anaondoka ofisini jicho mkoma na harudii kweli.
Nachukia walevi na ulevi haunaga faida kunywa kiasi for recreation purpose Tena baada ya kazi weekend
 
Hakuna pombe isiyotoa harufu... Sema zinatofautiana harufu tu... Kuna harufu za kukera na za kawaida.

Tumboni inafanyika fermentation upya huko hivyo lazima harufu zitoke. Nimeona pombe kali hapo na energy... Achana na masumu hayo.... Najua mnayapenda maana unakunywa pombe nyingi bila kulewa ukimix hivyo ila sio mazuri
Naandika with experience sijawai kua mlevi pia I hate alcoholism hata taste ya pombe mdomoni mwangu..

Mfano mdogo Prisner lager, balimi, Guinness smooth, bia most izi lite hazina harufu pia pombekali uki mix na energy drink inakata harufu watu wapo kwenye ndoa miaka Zaid ya kumi wenzi wao hawajui Kama waume zao wanakunywaga..?!

Alafu usikariri ikisemwa energy drink wewe mawazo yako yanaenda kwenye cheap product (makapi) mo energy ama Azam kwa ufupi zipo energy drink zenye ubora na zisizo kua END PRODUCTS..

Mfano
Kombucha energy drink utanambia inafanana na mo energy drink??
Ngoja wajuvi waje wakupe miongozo..
 
Back
Top Bottom