Kuwa bosi isiwe sababu ya kutuhukumu sisi wanywa pombe. Harufu ya pombe sio kulewa. Wewe kutokunywa isiwe kigezo cha kutufokea

Nachukia walevi na ulevi haunaga faida kunywa kiasi for recreation purpose Tena baada ya kazi weekend
 
Naandika with experience sijawai kua mlevi pia I hate alcoholism hata taste ya pombe mdomoni mwangu..

Mfano mdogo Prisner lager, balimi, Guinness smooth, bia most izi lite hazina harufu pia pombekali uki mix na energy drink inakata harufu watu wapo kwenye ndoa miaka Zaid ya kumi wenzi wao hawajui Kama waume zao wanakunywaga..?!

Alafu usikariri ikisemwa energy drink wewe mawazo yako yanaenda kwenye cheap product (makapi) mo energy ama Azam kwa ufupi zipo energy drink zenye ubora na zisizo kua END PRODUCTS..

Mfano
Kombucha energy drink utanambia inafanana na mo energy drink??
Ngoja wajuvi waje wakupe miongozo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…