Kuwa kiongozi Hamas ni kujiweka kitanzini mwenyewe!!!

Kuwa kiongozi Hamas ni kujiweka kitanzini mwenyewe!!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Toka magaidi wa Hamas wafanye mashambulio huko Israel na kufanikiwa kuua watu 1,200 na wengine 251 kutekwa nyara na Magaidi hao. Majeshi ya Israel yana kazi moja tu nayo ni kuwasaka magaidi popote walipo kisha kuwaangamiza bila che be ya huruma.

Picha I wanaonekana viongozi waandamizi wa Hamas walio pelekwa kuzimu bila wao kupenda hili ni Fundisho kwa magaidi wengine ulimwenguni

IMG_3092.jpeg
IMG_3091.jpeg
 
Back
Top Bottom