Kuwa kwenye Mahusiano na mtu anaekuzidi umri sana ni hatari?

Kilenzi _Jr

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2021
Posts
301
Reaction score
1,110
Salaam Wana JF, Je kuwa kwenye Mahusiano na mtu aliyekuzidi umri sana ni hatari? Na kama ni hatari Jamii ifanye vipi kuepuka hili?

Nawasilisha🙏


 
We me au ke?

Ukinipa jibu ntakuelewesha kitu.
 
Hamna hatari yoyote, Jamii yetu ndio imefanya tuone kuna hatari...

Mkuu endeleza libeneke.
 
Kuna dogo ana miaka 19 anadate na mzee wa miaka 50 alikuwa ananisimulia kwamba anaona aibu hata kusimama nae hadharani hizi hela zitakuja kuua mtu. Sema mm nataka nianze nae mahusiano tuwe tunazila hela za mzee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…