Kuwa kwenye Mahusiano na mtu anaekuzidi umri sana ni hatari?

Kuna dogo ana miaka 19 anadate na mzee wa miaka 50 alikuwa ananisimulia kwamba anaona aibu hata kusimama nae hadharani hizi hela zitakuja kuua mtu
Sema mm nataka nianze nae mahusiano tuwe tunazila hela za mzee
Kuwa makini na afya yako mkuu. Mzee kama huyo kinga kwake sio option na ana michepuko kadhaa.
 
Duuuh! unachanganya mbegu na mtu kakuzidi miaka kama 30?
Umaskini ni mbaya sana,na huyo mzee kama ndiyo mtoa hela,naamini hata zana yeye ndiye anaamua atumie au asitumie.Naamini yale maneno yanasemwaga kua ni rahisi kukuta mdada au mkaka wa miaka hata 20 hajawahi kufanya mapenzi endapo yupo kwenye mazingira ya pesa,ila ni vigumu akiwa kwenye mazingira ya kimaskini.Umaskini ni kitu kibaya.
Hawezi kwanza mzee mzima anawezaje kumudu demu ambaye amemzidi miaka zaidi ya 30
 
Ni hatari iliyo salama.

Jitose mazima kijana.
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…