Mazindu Msambule
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 7,510
- 6,877
Research za siku hizo bhana, yaani sample moja tu mtu ana draw conclusion; anyway twendage hivyo hivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weeee! mbele ya uhakika wa ada ya binti yake lazima atachomoa bila kutaka! sijui kwanini single mama wengi wana watoto wa kike
Ngoja nitafute mwanajeshi haogopi vita najua wapo watanijia in box kwa usajiliUsiombe yakukute tena tema mate chini maana kumzalisha single mama nikujichimbia kaburi.
shida iko wapi asali haina makombo kizuri ajitahidi kukudanganya usijui na hili ni rahisi sana akienda abebe sabuni anayotumia nyumbani na mafuta yake ili akioga unaona kawaida tu sio aogee sabuni ya hotel we vipi! ushamkuta na mtoto wivu wa nini?Hehehehehh na siku akimpeleka mwanae kwa baba ake kwisha habari yako
#kIddIng
Mzee umewatusi sana sio vzr..Mwanzoni anaweza akakupenda kama mwana mpaka ukajihisi umekuwa mwanamfalme
Ngoja ssa akuvulie pants upige kimoko cha ndomu utajua hujui
Utapiga simu kama ile namba ya voda huduma kwa wateja 09... hutaona ikipokelewa akija kupokea baadae utasikia niliacha simu ndani oooh ng’eng’e nyingi
Ukiongea nae kidogo mara ooh mtoto analia ngoja nimbembeleze ntakurudia ukikata ndio mazima
Kumbuka wakati analeta mada ya mtoto ukiipinga malalamishi yanafuata ooh kisa sio mtoto wako
Dah kwa kweli hawa viumbe sio wa kuwawekea imani kwa ujumla japo wapo waliodumu na wapo waliotokea kwenye uzao wa ndoa ya single mother.
Ila mimi hawa huwa ninawachukulia kama mbwa jike akipata joto na faru yuko mbali yeye huwa anapita na yeyote aliyeko karibu nae
Ngoja nitafute mwanajeshi haogopi vita najua wapo watanijia in box kwa usajili
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] eti wanakuwaga na shida kupita maelezoNakumbuka mwaka jana katikati nilipata kufahamiana na single mother mmoja toka kwenye mtandao maarufu wa kijamii.
Mwanzoni sikujua kama ni single mother mpaka tulivyoanza kuzoeana ndipo alinambia kwamba ana mtoto mmoja wa kike mwenye umri wa miaka mitatu alizaa na jamaa mmoja ambae kwasasa wameachana.Ingawa sikuwa na mpango wa kumtongoza haraka kihivyo ila yeye mwenyewe alianza kujitongozesha.
Akaanza zile mara tunaonana lini mara ooh sijui unakuja lini vitu kama hivyo nikamwambia tutaonana tu wala usijari mana kiukweli tulikua tuko mikoa tofauti.Balaa lilianza ilipofika December mwezi wa Xmas akaanza kunambia mara mtoto anataka nguo mara sijui vile yani akawa anakomaa kweli kwamba nimnunulie mwanae nguo za sikukuu mara ooh kodi ya nyumba inaisha naomba unisaidie kulipa......sasa nikawaza huyu sijaonana nae live kashaanza kunipa majukum ya baba wa mtoto je nikishakutana nae faragha sio ndio nitakua napigwa invoice kila uchao
Nikaona isiwe kesi wacha nimpotezee mana sipendi mwanamke ambae mwanzoni tu anaanza kulia shida kabla hata sijamgegeda
Sijui kwa wengine ila binafsi siamini kama kweli single mothers wanakuaga na mapenzi ya dhati, huwa naamini kujibebisha kwao ni maigizo tu ili mambo yake yaende sababu anachohitaji yeye ni pesa tu kwaajiri ya kutatua matatizo yake mana wanakuaga na shida kupita maelezo.
Je kuna mtu mwingine yeyote humu ambae kashawahi kuwa kwenye mahusiano na single mother na kama uliwahi je ni nini kilikufanya uachane na single mother ?
Karibuni tuweze share experience
Au sio mtu hamjawahi hata kuonana nae halafu anakuomba omba hela na wewe unaona sawa [emoji16][emoji16][emoji16]Dogo huna hela sijaona tatizo katika maombi ya huyo bibie.. kaomba vitu vya kawaida Sana ambavyo mwanaume mchakarikaji havimsumbui kufungua thread.
Nikusisitizie tu , tafuta hela.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji119][emoji119]Hahaaa umenikumbusha mmoja huyo nilikutana nae kazin kama new employeee....
Mpole mpole hivi nikasema ngoja nioshe rungu nipite, wee yule dada sijui alinifanyoa nini, nikaja kukuta nimempenda vile isivyo kawaida, nikipiga simu jion asipopatikana mwili wote unajaa joto unalegea nahisi kufa.
Maisha yakasonga kaja nambia ana mtoto wa kike kazaa na ex wake tena wakiwa chuon 2nd year, eheee nambie mamii huyo mtoto yuko wapi?
Yupo kwa bibi yake mzaa baba yake, hahaa vitimbwi umekaa nae seblen unataka kumega utamu simu inapigwa na mama yake mkwe huyo anae kaa na mtoto.
Mama: Binti habari?
Binti: Nzuri mama shikamoo,
Mama: Marahaba, vipi huyu mwanao hujapiga simu kuulizia maendeleo yake ya shule, ila kanajitahidi sana na baba yake alimtumia hela za nguo hapa nimemnunulia kapendeza sana.
Binti: ooh vizuri sana mama, ajitahidi katika masomo
Mama: Kuna wifi yako anataka kukusalimu
Binti: haya mpe simu.
Binti: Wifi za huko jaman, nilikuona profile umenawiri na kupendeza.
Wifi: Asante wifi, ile picha nilipiga ile sehem aliyotupeleka kaka siku ya siku kuu mlipokuwa huku kipindi kile cha siku kuu
Binti: Aaah usinikumbushe ile sehem nzuri jaman na ile siku nilienjoy sana.
Wifi: lini unakuja wifi yangu, uje bwana mwanao anakuwa mkiwa sana wengine mama zao wanakuja wanafurahia mapenzi ya mama yao wa kwako anakuwa mkiwa.
Binti: nitakuja wifi ngoja nishugulikie likizo.
Unapata picha ya wewe umekaa kwenye sofa hapo pemben unasubiria mtu amalize story za upuuz za hivyo,
Basi akikata simu anawaponda kidogo, yan hawa kila mara wanadai uniform, viatu vya mtoto sijui nguo za siku kuu bora nije nichukue mwanangu.
Mimi: Eeeh chukua mtoto huyo haya mawasiliano yenu hayanivutii
Binti: baby punguza wivu ww nae, yule ana mpenz wake na mm nina wewe ni bahat mbaya tu mimba iliingia tukapata huyu mtoto.
Mara siku nyingine, simu ya huyo baba watoto wake, anavunga kupokea, jamaa anatuma msg hebu punguza jazba mtoto apate malezo yetu sote, juzi nimeongea nae kasema msalimie mama.
Utaona binti analegea, anavizia ukiondoka waongee.
Nikasema huu ni utumwa ndani ya nchi huru yenye wanawake wengi kuliko wanaume.
Nilisikia habr za fununu walivishana pete baadae tena.
Avoid mwanamke mwenye mtoto, waigizaji sana ila ipo siku atakuumiza balaa had ustashangaa na kujifanya unajua kukamatia walojazwa watoto
Huna helaKwahiyo kama ukiwa na hela ndo unatakiwa utumie tu bila plan ? Acha ujinga wewe
Aisee [emoji16]Hahahaha alikuja kuleta mtoto town tukapasha kipolo kama wik mbil hivi ujumbe alioniambia kwamba yule mtoto sio wa Mme wake ni wangu nimemjarb kumtafuta usiku huu kaniambia Mme wake hayupo nimemuambia aje tulelee watoto kakubali hahahaha single mother shikamon kauli mbiu ya JF "mpaka mtuonyeshe kaburi la baba mtoto wako "
[emoji419][emoji419]Nikwel lakin wanawake wa kiswahil wanajua walipo toka na walipo, hawajui waendapo ndiyo maana akipata mpenz mpya lazma ampime na mpenzi wake wazam, kwaiyo akiona mpenz wake was zamani ana maksi nyingi kuliko aliye nae kwa wakati huo lazma ataka kujirudisha kwa mpenz wake wa zaman
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu single mother sio wa kuoa chukua mtu kaolewa kwa ndoa kabisa lakn nilimwambia aje kakubali nikamuuliza mmeo utamuagaje anasema tamwambia shangaz kaniita Mara moja kama wiki hivi kuna kitu tena hapo ukioa single mother umeoa mke wa mtuWacha bhana
Halijanikuta dada ila nahisi kuna dalili za mvua kubwa,maana naona wingu zito limetanda 🤣Limekukuta jambo nini kaka🤣🤣
Hivi najaribu kuwaza taratibu..hivi huyo singo mama anacheat Na mwanamke mwenzie?😁😁mkuu acha kumuumiza mwanaume mwenzako.acha mke wake atulie huko alipo.Mkuu single mother sio wa kuoa chukua mtu kaolewa kwa ndoa kabisa lakn nilimwambia aje kakubali nikamuuliza mmeo utamuagaje anasema tamwambia shangaz kaniita Mara moja kama wiki hivi kuna kitu tena hapo ukioa single mother umeoa mke wa mtu
🤣🤣🤣eti wingu zito limetanda..Halijanikuta dada ila nahisi kuna dalili za mvua kubwa,maana naona wingu zito limetanda 🤣
ukiona binti kakuzalia mtoto wa kiume jua kabisa alitaka kukuzalia kwa roho moja sababu anakuwa anajua kabisa hali yake kwa 70% ukigusa tu atanasa ila ya mtoto wa kike anakuwa kapiga hesabu vibaya au anakuwa anabahatisha yakwamba haitaingia kumbe sivyo!!, ndio maana mabinti wengi wana watoto wa kike, ila ya mtoto wa kiume mara nyingi unakuta binti alikupenda na alikuwa tayari kuibeba, ndio maana hata kwa ishu ya single mothers wengi ikiwa kazaa kabinti, ndio X anaweza kula ila sio kwa upendo wa kivile hata risk yake sio kubwa sana ila kama X amezaa nae katoto ka kiume yaani hapo risk ya jamaa kujilia ni 90%, sababu alibeba mimba kwa kuitaka na alikuwa na mapenzi ya kweli kwa huyo X, fanya utafiti utagundua.Weeee! mbele ya uhakika wa ada ya binti yake lazima atachomoa bila kutaka! sijui kwanini single mama wengi wana watoto wa kike
Hivi najaribu kuwaza taratibu..hivi huyo singo mama anacheat Na mwanamke mwenzie?[emoji16][emoji16]mkuu acha kumuumiza mwanaume mwenzako.acha mke wake atulie huko alipo.
Kuna singo mama unaeza oa na akatulia kwenye ndoa yake kuliko hata mwanamke ambae hajawahi kuwa Na mtoto.
Kuna mwamba namjua yeye ni singo baba kaoa mdada mzuri tu asiye na mtoto wakabahatika kupata mtoto mwingine ndani ya ndoa.
[emoji16][emoji16]kinachomtokea masts ni bwana aingilie kati maana ameshamtamani baby mama wake lakini hawawezi kuwa pamoja maana baby mama wake kaolewa na mazoea na baby baba hataki kbisa.so inategemea Chief.
Haya maisha ya kukaririshwa huku JF kuwa singo maza ni wabaya ni mbaya sana.umeshamaliza singo mama wote ulimwenguni mpka wasemwe wote ni wabaya??ukishikilia sana comments za humu ndani ukazipeleka katika maisha halisi,basi utajikuta upoteza watu wa maana kwa ajili ya hizo negativity ambazo zipo vichwani juu ya singo mamaz[emoji1635]