Kuwa kwenye mahusiano na single mother yataka moyo

Kuwa kwenye mahusiano na single mother yataka moyo

ukiona binti kakuzalia mtoto wa kiume jua kabisa alitaka kukuzalia kwa roho moja sababu anakuwa anajua kabisa hali yake kwa 70% ukigusa tu atanasa ila ya mtoto wa kike anakuwa kapiga hesabu vibaya au anakuwa anabahatisha yakwamba haitaingia kumbe sivyo!!, ndio maana mabinti wengi wana watoto wa kike, ila ya mtoto wa kiume mara nyingi unakuta binti alikupenda na alikuwa tayari kuibeba, ndio maana hata kwa ishu ya single mothers wengi ikiwa kazaa kabinti, ndio X anaweza kula ila sio kwa upendo wa kivile hata risk yake sio kubwa sana ila kama X amezaa nae katoto ka kiume yaani hapo risk ya jamaa kujilia ni 90%, sababu alibeba mimba kwa kuitaka na alikuwa na mapenzi ya kweli kwa huyo X, fanya utafiti utagundua.
aisee[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Ngoja niitunze hii comment yako itanisaidia katika utafiti wangu
 
🤣🤣🤣eti wingu zito limetanda..

Kaka bora hata wewe umeamua kutokutukana mamba😅😅

Waambie wenzako wakae kwa utulivu wasijetandwa na wingu zito Kama lako😅😅

Maisha Haya..never say never 🎶🎶
😁😁
Mimi hata staki toa viapo kwenye maisha yangu saivi,maana nilikua

sielewi mtu akiniambia "time will tell",yani nilikua nam'benulia mdomo

namsindikiza na neno kimoyo moyo namwambia "Hujui misimamo yangu wewe"

ila sasaaa,Wingu lililotanda mbele yangu,nawambia tu hawa wanazengo wao waendelee tu ila "Time will tell"
 
ukiona binti kakuzalia mtoto wa kiume jua kabisa alitaka kukuzalia kwa roho moja sababu anakuwa anajua kabisa hali yake kwa 70% ukigusa tu atanasa ila ya mtoto wa kike anakuwa kapiga hesabu vibaya au anakuwa anabahatisha yakwamba haitaingia kumbe sivyo!!, ndio maana mabinti wengi wana watoto wa kike, ila ya mtoto wa kiume mara nyingi unakuta binti alikupenda na alikuwa tayari kuibeba, ndio maana hata kwa ishu ya single mothers wengi ikiwa kazaa kabinti, ndio X anaweza kula ila sio kwa upendo wa kivile hata risk yake sio kubwa sana ila kama X amezaa nae katoto ka kiume yaani hapo risk ya jamaa kujilia ni 90%, sababu alibeba mimba kwa kuitaka na alikuwa na mapenzi ya kweli kwa huyo X, fanya utafiti utagundua.
Mweeeeeee humu kuna wanasaikolojia wenye level za PHD aseeee

ila iwe iwavyo binadamu wote kwangu ni sawa,nikikudondokea hata uwe na miaka 78 "sijali" hata uwe na

watoto wakubwa ka baba angu mkubwa ndio sijaliiiii,napambana na moyo wangu tu,mengine watajua mashabiki zangu...
 
Mimi hata staki toa viapo kwenye maisha yangu saivi,maana nilikua

sielewi mtu akiniambia "time will tell",yani nilikua nam'benulia mdomo

namsindikiza na neno kimoyo moyo namwambia "Hujui misimamo yangu wewe"

ila sasaaa,Wingu lililotanda mbele yangu,nawambia tu hawa wanazengo wao waendelee tu ila "Time will tell"
Bora hata wewe umelitambua mapema hujachelewa...

Wewe waache waendelee🤣🤣

Kwani kaka hiyo mvua itanyesha lini tuanze kununua miavuli?😎😎
 
Endeleeni kukubaliana tu lakini kuna mwenzenu huko CONTROLA anasema wingu nene limemtandia😁😁

Usitukane mamba kabla
Usiongeze neno,just comment a short line, "time will tell them"

saivi waache kwanza,maana hamna neno utaweza ongea ukaeleweka.
 
Mweeeeeee humu kuna wanasaikolojia wenye level za PHD aseeee

ila iwe iwavyo binadamu wote kwangu ni sawa,nikikudondokea hata uwe na miaka 78 "sijali" tena uwe na

watoto wakubwa ka baba angu mkubwa ndio sijaliiiii,napambana na moyo wangu tu,mengine watajua mashabiki zangu...
Mwambie mama manka akupatie kirikiri au kata ya mbege tafadhali.

Waambie hao😁😁
 
Usiongeze neno,just comment a short line, "time will tell them"

saivi waache kwanza,maana hamna neno utaweza ongea ukaeleweka.
ngoja ni repeat after you kaka..

time will tell them everything

😁😁
 
Bora hata wewe umelitambua mapema hujachelewa...

Wewe waache waendelee🤣🤣

Kwani kaka hiyo mvua itanyesha lini tuanze kununua miavuli?😎😎
Nakwambia hapa hata sielewi,kila mkoa ninao pita kama sio wingu basi manyunyu

mimi sijui ntaangukia mkoa upi ila mikoa yote hii ndo miezi ya mvua,mwamvuli muhimu mama🤣
 
Nimekoma kutukana mamba kabla sijavuka mto,Nimekoma...
Bado sana wewe mbona wenzio ivyo viunzi tunavivuka vizuri tu......unaendeshwa na nyege wewe ile ukimuhitaji anytime huyu hapa....
 
Nakwambia hapa hata sielewi,kila mkoa ninao pita kama sio wingu basi manyunyu

mimi sijui ntaangukia mkoa upi ila mikoa yote hii ndo miezi ya mvua,mwamvuli muhimu mama🤣
🤣🤣🤣🤣 baba hakika kweli umekamatika..

Nakuombea uangukie kwenye mkoa wenye ardhi yenye udongo mzuri wenye rutuba ukipanda mbegu ikazae vyema.

Naanza kununua mwamvuli kaka😊
 
Hivi najaribu kuwaza taratibu..hivi huyo singo mama anacheat Na mwanamke mwenzie?[emoji16][emoji16]mkuu acha kumuumiza mwanaume mwenzako.acha mke wake atulie huko alipo.

Kuna singo mama unaeza oa na akatulia kwenye ndoa yake kuliko hata mwanamke ambae hajawahi kuwa Na mtoto.

Kuna mwamba namjua yeye ni singo baba kaoa mdada mzuri tu asiye na mtoto wakabahatika kupata mtoto mwingine ndani ya ndoa.

[emoji16][emoji16]kinachomtokea masts ni bwana aingilie kati maana ameshamtamani baby mama wake lakini hawawezi kuwa pamoja maana baby mama wake kaolewa na mazoea na baby baba hataki kbisa.so inategemea Chief.

Haya maisha ya kukaririshwa huku JF kuwa singo maza ni wabaya ni mbaya sana.umeshamaliza singo mama wote ulimwenguni mpka wasemwe wote ni wabaya??ukishikilia sana comments za humu ndani ukazipeleka katika maisha halisi,basi utajikuta upoteza watu wa maana kwa ajili ya hizo negativity ambazo zipo vichwani juu ya singo mamaz[emoji1635]
Ushawahi kumuona mjinga anayejiona mwerevu?

Anawasema single moms kuwa hawafai, ila anajisahau na yeye hafai pia, otherwise angekuwa amegoma kupasha kiporo na single mom wake. So alipaswa aseme single parents hawafai unless umeona kaburi la mzazi mwenzie. Na sio kuwananaga single moms as if wanapasha viporo wao kwa wao. Huyo mwanamke aliye na huyu single dad amepata hasara, angesubiri tu hadi aone kaburi la baby momma ndiyo angemkubali

Huyo single mom ni mpumbavu haswa. Imagine mtu mmezaa na akakuacha, umepata mtu wa kukustiri , bado unaenda kugongwa na baby daddy huko nje na kama haitoshi unambebea na mimba juu. Kwa nini asingebaki tu kuwa single aendelee kuwa incubator ya baby daddy asiyemuhitaji? Why hurting her innocent husband?

Huyu baby daddy naye ndiyo walewale pwagu na pwaguzi. Mtu ameolewa, mnapasha viporo, anaamua na kukubebea mimba juu.
-Haumiziwi na yule mtoto wa kwanza ambaye wameshindwa kumlea pamoja

-Haumizwi na huyo mtoto wa pili ambaye mume amebambikwa. Kwamba hata iweje, damu yake imepotea, hatoweza kumdai huyo mtoto. Yupo tu hapa anajichekesha kama fisi kaona mfupa.

-Anamuona huyo mume ni fala, anamgongea mke wake hadi kumzalisha. Hata hashtuki akili kwamba itakuwaje siku hiyo fala akigundua kwamba huyo mtoto sio wake. What if akapata hasira, akaaamua kuchinja watoto wote? Hopefully atakuja hapa kutusimulia jinsi single moms walivyo wajinga, na sisi tutamsupoort kwa kucheka naye.

Nawaonea huruma hao watoto, maana wazazi wote ndiyo hao. Poor kids
 
Haha mwenyekiti kwa kweli mimi mwenyewe ile co-parenting sikuielewa. Nikasema labda huko mjini mambo yapo hivyo, huku Mwakaleli ushamba umetuzidi.
Hamisa mpaka leo haamini kama kaachwa
 
HIVI KABLA YA KUWA NAYE HAPO KABLA, MAHITAJI YA MUHIMU ALIKUWA AKIYAPATA WAPI?

HALAFU KUWA MAKINI, HAO KUPASHA KIPORO NA EX WAKE (BABA MTOTO) NI DAKIKA SIFURI

USISEME HUKUONYWA
Hata wasio single mother wanapasha na ma ex wao.
 
Back
Top Bottom