Kuwa kwenye mahusiano na single mother yataka moyo

Usiombe yakukute tena tema mate chini maana kumzalisha single mama nikujichimbia kaburi.
Ngoja nitafute mwanajeshi haogopi vita najua wapo watanijia in box kwa usajili
 
Hehehehehh na siku akimpeleka mwanae kwa baba ake kwisha habari yako

#kIddIng
shida iko wapi asali haina makombo kizuri ajitahidi kukudanganya usijui na hili ni rahisi sana akienda abebe sabuni anayotumia nyumbani na mafuta yake ili akioga unaona kawaida tu sio aogee sabuni ya hotel we vipi! ushamkuta na mtoto wivu wa nini?
 
Mzee umewatusi sana sio vzr..
 
Ngoja nitafute mwanajeshi haogopi vita najua wapo watanijia in box kwa usajili

Mimi pia nilikuwa najiona mwanajeshi tena niliye fuzu mafunzo ya kikomandoo mwisho wa siku nikaja kujuwa nilikuwa napambana katika battle ambayo pamoja na ukomandoo wangu wote nikajiona kama kuluta ambaye siwezi kupambana hata na mgambo
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] eti wanakuwaga na shida kupita maelezo
 
Dogo huna hela sijaona tatizo katika maombi ya huyo bibie.. kaomba vitu vya kawaida Sana ambavyo mwanaume mchakarikaji havimsumbui kufungua thread.
Nikusisitizie tu , tafuta hela.
Au sio mtu hamjawahi hata kuonana nae halafu anakuomba omba hela na wewe unaona sawa [emoji16][emoji16][emoji16]

Hizo pesa ingekuwa Ni rahisi hivyo kuzigawa Basi serikali yetu ingekuwa inawapatia wananchi wake pesa Bila kufanya kazi
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Aisee [emoji16]
 
[emoji419][emoji419]
 
Wacha bhana
Mkuu single mother sio wa kuoa chukua mtu kaolewa kwa ndoa kabisa lakn nilimwambia aje kakubali nikamuuliza mmeo utamuagaje anasema tamwambia shangaz kaniita Mara moja kama wiki hivi kuna kitu tena hapo ukioa single mother umeoa mke wa mtu
 
Mkuu single mother sio wa kuoa chukua mtu kaolewa kwa ndoa kabisa lakn nilimwambia aje kakubali nikamuuliza mmeo utamuagaje anasema tamwambia shangaz kaniita Mara moja kama wiki hivi kuna kitu tena hapo ukioa single mother umeoa mke wa mtu
Hivi najaribu kuwaza taratibu..hivi huyo singo mama anacheat Na mwanamke mwenzie?😁😁mkuu acha kumuumiza mwanaume mwenzako.acha mke wake atulie huko alipo.

Kuna singo mama unaeza oa na akatulia kwenye ndoa yake kuliko hata mwanamke ambae hajawahi kuwa Na mtoto.

Kuna mwamba namjua yeye ni singo baba kaoa mdada mzuri tu asiye na mtoto wakabahatika kupata mtoto mwingine ndani ya ndoa.

😁😁kinachomtokea masts ni bwana aingilie kati maana ameshamtamani baby mama wake lakini hawawezi kuwa pamoja maana baby mama wake kaolewa na mazoea na baby baba hataki kbisa.so inategemea Chief.

Haya maisha ya kukaririshwa huku JF kuwa singo maza ni wabaya ni mbaya sana.umeshamaliza singo mama wote ulimwenguni mpka wasemwe wote ni wabaya??ukishikilia sana comments za humu ndani ukazipeleka katika maisha halisi,basi utajikuta upoteza watu wa maana kwa ajili ya hizo negativity ambazo zipo vichwani juu ya singo mamaz🥂
 
Halijanikuta dada ila nahisi kuna dalili za mvua kubwa,maana naona wingu zito limetanda 🤣
🤣🤣🤣eti wingu zito limetanda..

Kaka bora hata wewe umeamua kutokutukana mamba😅😅

Waambie wenzako wakae kwa utulivu wasijetandwa na wingu zito Kama lako😅😅

Maisha Haya..never say never 🎶🎶
😁😁
 
Nakoelekea mm, nitahitaji singo maza tu. Hali niliyonayo inanisuta. Yani hapa ata sijasoma contents ya title yako. Nimeguswa tu.😁
 
Weeee! mbele ya uhakika wa ada ya binti yake lazima atachomoa bila kutaka! sijui kwanini single mama wengi wana watoto wa kike
ukiona binti kakuzalia mtoto wa kiume jua kabisa alitaka kukuzalia kwa roho moja sababu anakuwa anajua kabisa hali yake kwa 70% ukigusa tu atanasa ila ya mtoto wa kike anakuwa kapiga hesabu vibaya au anakuwa anabahatisha yakwamba haitaingia kumbe sivyo!!, ndio maana mabinti wengi wana watoto wa kike, ila ya mtoto wa kiume mara nyingi unakuta binti alikupenda na alikuwa tayari kuibeba, ndio maana hata kwa ishu ya single mothers wengi ikiwa kazaa kabinti, ndio X anaweza kula ila sio kwa upendo wa kivile hata risk yake sio kubwa sana ila kama X amezaa nae katoto ka kiume yaani hapo risk ya jamaa kujilia ni 90%, sababu alibeba mimba kwa kuitaka na alikuwa na mapenzi ya kweli kwa huyo X, fanya utafiti utagundua.
 

Tushakubaliana kwenye kikao chetu single mother unapunguza nyege tu kisha unaendelea na majukumu mengine ya kujenga taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…