ni ulimbukeni tu:
Nilikuwa nahitaji mtu kama wewe muelewa sio watu wasiotumia ubongoWewe ndio mshamba.
Huna ulisoma nao
Huna unaofanya nao kazi
Huna chama cha siasa
Hufanyi biashara
Huna kanisa Wala msikiti
Na kadhalika 2
Mkuu nilitaka niseme wewe mshamba ila nikaona sio hekima kwenye kitu cha kukuweka sawa tu, simply utanielewa binafsi mimi nina group kama 60 hivi ninamambo mengi najihusisha nayo ila baadhi ya status zangu ni Mwanafunzi wa chuo, Mjasiriamali na Dalali jumla ya ishu izi zangu zote ndio zilizo kwenye magupu hayo niliyonayo mkuu, uyo ni mimi. Sasa mwengine hujui ana status gani ambayo ni kawaida au manufaa kwake kuwa na group au huwenda tatizo ni mentality iliyopo kichwani kwako mkuu kuhusu group ndipo tatizo litaisha.
Nipo kwenye group moja la ujasiliamali link zake zipo sana humu JF na ndipo nilipo pata Link ya kujiungia kuna mjasiriamali anajiita JAGUAR anakwambia yeye ana group azipungui 100+ na group hizo ndizo zinachangia asilimia kubwa ya market na network ya watu kwenye business zake, kwenye group hilohilo kuna mdau anajihusisha na Agro input alipata wateja ambao wadau wanaojihusisha na kilimo vipo vingi.
Nipo na group moja ambalo limeanza kawaida na Link yake nimepata humuhumu sasahivi lishajisajiri kisheria kama kampuni na mwakani linaanza miradi mbalimbali.
Nina group lingine nimepata Link yake humuhumu tume meet mala kadhaa tumetengeneza Website teyari ni tunajihusisha na IT tumeanza na biashara moja sitaki itaja.
Kimsingi utakuwa na group ambalo linahusiana na ishu unajihusisha nazo kwenye maisha yako, simply ukiwa na group 50 inamaana wewe una network ya watu wasiopungua 3000 ambao unaweza watumia unavyotaka wewe.
Kama nilivyokwambia pia mie dalali nina bidhaa yangu moja nimeitangaza jana hadi sasa nina wateja hawapungui 20 wamenicheki.
Kimsingi vipo vitu vingi ila utaelewa endapo hutaacha mentality za wasio na elimu kuhusu group za wasapu na mitandao kwa ujumla.
NB: kama hauna group hata moja la whatapp inamaana wewe huna interest au kujihusisha na kitu chochote hapa Duniani.
Mkuu nilitaka niseme wewe mshamba ila nikaona sio hekima kwenye kitu cha kukuweka sawa tu, simply utanielewa binafsi mimi nina group kama 60 hivi ninamambo mengi najihusisha nayo ila baadhi ya status zangu ni Mwanafunzi wa chuo, Mjasiriamali na Dalali jumla ya ishu izi zangu zote ndio zilizo kwenye magupu hayo niliyonayo mkuu, uyo ni mimi. Sasa mwengine hujui ana status gani ambayo ni kawaida au manufaa kwake kuwa na group au huwenda tatizo ni mentality iliyopo kichwani kwako mkuu kuhusu group ndipo tatizo litaisha.
Nipo kwenye group moja la ujasiliamali link zake zipo sana humu JF na ndipo nilipo pata Link ya kujiungia kuna mjasiriamali anajiita JAGUAR anakwambia yeye ana group azipungui 200+ na group hizo ndizo zinachangia asilimia kubwa ya market na network ya watu kwenye business zake, kwenye group hilohilo kuna mdau anajihusisha na Agro input alipata wateja ambao wadau wanaojihusisha na kilimo vipo vingi.
Nipo na group moja ambalo limeanza kawaida na Link yake nimepata humuhumu sasahivi lishajisajiri kisheria kama kampuni na mwakani linaanza miradi mbalimbali.
Nina group lingine nimepata Link yake humuhumu tume meet mala kadhaa tumetengeneza Website teyari ni tunajihusisha na IT tumeanza na biashara moja sitaki itaja.
Kimsingi utakuwa na group ambalo linahusiana na ishu unajihusisha nazo kwenye maisha yako, simply ukiwa na group 50 inamaana wewe una network ya watu wasiopungua 3000 ambao unaweza watumia unavyotaka wewe.
Kama nilivyokwambia pia mie dalali nina bidhaa yangu moja nimeitangaza jana hadi sasa nina wateja hawapungui 20 wamenicheki.
Kimsingi vipo vitu vingi ila utaelewa endapo hutaacha mentality za wasio na elimu kuhusu group za wasapu na mitandao kwa ujumla.
NB: kama hauna group hata moja la whatapp inamaana wewe huna interest au kujihusisha na kitu chochote hapa Duniani.
Mkuu inabidi uwelewe mantiki ya mada, mada ni group za Whatsapp na sio watu fulani.Wengi wao ni umbea tu hakuna cha maana zaid ya pono sio kujenga uchumi
Mkuu JF haipo frexible kama Whatsapp na na JFvhaiwezi kuwa mbadala wa Whatsapp kama unalijua hilo mkuu kunavitu vitaanzia JF vitahitaji kumalizikia Whatsapp, kuna vitu vitakuwa whatsapp vitahitaji kuji-expose JF pia hivyohuvyo FB na IG kila mtandao una umuhimu wake na unauzito wake kwenye kipengele fulaniKwa wewe ni sawa kabisa ila sio lazima niwe na groups kibao wakati mwingine sioni sababu km mambo yangu naweza kuyamaliza kupitia social network tofaut na groups km hivyo mfano hapa jf kuna majukwaa kibao ya kiuchumi kwani siwez fanikisha mipango na ikaenda sawa mkuu kimsingi nakuunga mkono kwa upande mwingine tuseme inategemea na inshu zako zimekaaje pia?! Ila wapo ambao hutumia groups kufanya ujinga tu nahis hawa ndio wengi zaid kuliko watu dizain km wewe mkuu so kimsingi nimeelewa hoja yako vema naomba nikupongeze pia ktk hilo mkuu.