Kuwa kwenye makundi mengi ya WhatsApp ni ujanja au ushamba?

Chrix_Tz

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2015
Posts
880
Reaction score
1,100
Binafsi nna group moja tu la family...
Huwa nawashangaa sana wale wenye groups karibu 50+ za Whatsapp hivi huu ni ujanja au ni ulimbukeni? Isije kuwa mie ndio mshamba?!
 
Inategemea unazitumiaje. Wengine wanatumia groups kujitangaza asa kibiashara. Lkn km ni kuchat tu mambo ya kawaida ni ushamba
 
Mkuu nilitaka niseme wewe mshamba ila nikaona sio hekima kwenye kitu cha kukuweka sawa tu, simply utanielewa binafsi mimi nina group kama 60 hivi ninamambo mengi najihusisha nayo ila baadhi ya status zangu ni Mwanafunzi wa chuo, Mjasiriamali na Dalali jumla ya ishu izi zangu zote ndio zilizo kwenye magupu hayo niliyonayo mkuu, uyo ni mimi. Sasa mwengine hujui ana status gani ambayo ni kawaida au manufaa kwake kuwa na group au huwenda tatizo ni mentality iliyopo kichwani kwako mkuu kuhusu group ndipo tatizo litaisha.

Nipo kwenye group moja la ujasiliamali link zake zipo sana humu JF na ndipo nilipo pata Link ya kujiungia kuna mjasiriamali anajiita JAGUAR anakwambia yeye ana group azipungui 200+ na group hizo ndizo zinachangia asilimia kubwa ya market na network ya watu kwenye business zake, kwenye group hilohilo kuna mdau anajihusisha na Agro input alipata wateja ambao wadau wanaojihusisha na kilimo vipo vingi.

Nipo na group moja ambalo limeanza kawaida na Link yake nimepata humuhumu sasahivi lishajisajiri kisheria kama kampuni na mwakani linaanza miradi mbalimbali.

Nina group lingine nimepata Link yake humuhumu tume meet mala kadhaa tumetengeneza Website teyari ni tunajihusisha na IT tumeanza na biashara moja sitaki itaja.

Kimsingi utakuwa na group ambalo linahusiana na ishu unajihusisha nazo kwenye maisha yako, simply ukiwa na group 50 inamaana wewe una network ya watu wasiopungua 3000 ambao unaweza watumia unavyotaka wewe.

Kama nilivyokwambia pia mie dalali nina bidhaa yangu moja nimeitangaza jana hadi sasa nina wateja hawapungui 20 wamenicheki.

Kimsingi vipo vitu vingi ila utaelewa endapo hutaacha mentality za wasio na elimu kuhusu group za wasapu na mitandao kwa ujumla.

NB: kama hauna group hata moja la whatapp inamaana wewe huna interest au kujihusisha na kitu chochote hapa Duniani.
 
Walio wengi wana magroup mengi ya whatsup yasiyo na manufaa kwa leo na kesho ....ujinga ujinga tu!!!
 
Magroup yanatumika kupeana updates mbalimbali kwa mfano biashara, misiba, sherehe, siasa, uchumi,kilimo n.k
kwa mfano mimi nina magroup ya niliosoma nao chuo, sekondari, kanisani, group la kinadada na biashara
 
Kiufupi huwa siendekezi hizo mambo... Hasa nikiwa na niliesoma nae ananisaidia nini kwa mfano... Huyo naefanya nae kazi kwani hatuonano ofisin mpk tukutane kwenye group... Pia siendekezi siasa maana ni ujinga tu naona.. Mambo ya kanisa huwa nayamaliza kanisani sio kwenye groups mkuu ni hayo tu... Englishlady
 
Mkuu nilitaka niseme wewe mshamba ila nikaona sio hekima kwenye kitu cha kukuweka sawa tu, simply utanielewa binafsi mimi nina group kama 60 hivi ninamambo mengi najihusisha nayo ila baadhi ya status zangu ni Mwanafunzi wa chuo, Mjasiriamali na Dalali jumla ya ishu izi zangu zote ndio zilizo kwenye magupu hayo niliyonayo mkuu, uyo ni mimi. Sasa mwengine hujui ana status gani ambayo ni kawaida au manufaa kwake kuwa na group au huwenda tatizo ni mentality iliyopo kichwani kwako mkuu kuhusu group ndipo tatizo litaisha.

Nipo kwenye group moja la ujasiliamali link zake zipo sana humu JF na ndipo nilipo pata Link ya kujiungia kuna mjasiriamali anajiita JAGUAR anakwambia yeye ana group azipungui 100+ na group hizo ndizo zinachangia asilimia kubwa ya market na network ya watu kwenye business zake, kwenye group hilohilo kuna mdau anajihusisha na Agro input alipata wateja ambao wadau wanaojihusisha na kilimo vipo vingi.

Nipo na group moja ambalo limeanza kawaida na Link yake nimepata humuhumu sasahivi lishajisajiri kisheria kama kampuni na mwakani linaanza miradi mbalimbali.

Nina group lingine nimepata Link yake humuhumu tume meet mala kadhaa tumetengeneza Website teyari ni tunajihusisha na IT tumeanza na biashara moja sitaki itaja.

Kimsingi utakuwa na group ambalo linahusiana na ishu unajihusisha nazo kwenye maisha yako, simply ukiwa na group 50 inamaana wewe una network ya watu wasiopungua 3000 ambao unaweza watumia unavyotaka wewe.

Kama nilivyokwambia pia mie dalali nina bidhaa yangu moja nimeitangaza jana hadi sasa nina wateja hawapungui 20 wamenicheki.

Kimsingi vipo vitu vingi ila utaelewa endapo hutaacha mentality za wasio na elimu kuhusu group za wasapu na mitandao kwa ujumla.

NB: kama hauna group hata moja la whatapp inamaana wewe huna interest au kujihusisha na kitu chochote hapa Duniani.

Agizia Kinywaji unachokunywa nitalipa. Umeongea fact hadi basi.
Magroup mengi tuliyopo ni kwa ajili ya networking na kuinuana kimaisha. Binafsi naweza sema nimepata vingi sana kupitia gruops za wasap.....na groups hizi mnakutana watu wenye professional mbalimbali. So ni rahisi kupata hata misaada ya kielimu, kisheria, kitabibu, kibiashara hata kupata mseti tu akakupa mchongo.

Kudos Mkuu
 
Kwa wewe ni sawa kabisa ila sio lazima niwe na groups kibao wakati mwingine sioni sababu km mambo yangu naweza kuyamaliza kupitia social network tofaut na groups km hivyo mfano hapa jf kuna majukwaa kibao ya kiuchumi kwani siwez fanikisha mipango na ikaenda sawa mkuu kimsingi nakuunga mkono kwa upande mwingine tuseme inategemea na inshu zako zimekaaje pia?! Ila wapo ambao hutumia groups kufanya ujinga tu nahis hawa ndio wengi zaid kuliko watu dizain km wewe mkuu so kimsingi nimeelewa hoja yako vema naomba nikupongeze pia ktk hilo mkuu.
Mkuu nilitaka niseme wewe mshamba ila nikaona sio hekima kwenye kitu cha kukuweka sawa tu, simply utanielewa binafsi mimi nina group kama 60 hivi ninamambo mengi najihusisha nayo ila baadhi ya status zangu ni Mwanafunzi wa chuo, Mjasiriamali na Dalali jumla ya ishu izi zangu zote ndio zilizo kwenye magupu hayo niliyonayo mkuu, uyo ni mimi. Sasa mwengine hujui ana status gani ambayo ni kawaida au manufaa kwake kuwa na group au huwenda tatizo ni mentality iliyopo kichwani kwako mkuu kuhusu group ndipo tatizo litaisha.

Nipo kwenye group moja la ujasiliamali link zake zipo sana humu JF na ndipo nilipo pata Link ya kujiungia kuna mjasiriamali anajiita JAGUAR anakwambia yeye ana group azipungui 200+ na group hizo ndizo zinachangia asilimia kubwa ya market na network ya watu kwenye business zake, kwenye group hilohilo kuna mdau anajihusisha na Agro input alipata wateja ambao wadau wanaojihusisha na kilimo vipo vingi.

Nipo na group moja ambalo limeanza kawaida na Link yake nimepata humuhumu sasahivi lishajisajiri kisheria kama kampuni na mwakani linaanza miradi mbalimbali.

Nina group lingine nimepata Link yake humuhumu tume meet mala kadhaa tumetengeneza Website teyari ni tunajihusisha na IT tumeanza na biashara moja sitaki itaja.

Kimsingi utakuwa na group ambalo linahusiana na ishu unajihusisha nazo kwenye maisha yako, simply ukiwa na group 50 inamaana wewe una network ya watu wasiopungua 3000 ambao unaweza watumia unavyotaka wewe.

Kama nilivyokwambia pia mie dalali nina bidhaa yangu moja nimeitangaza jana hadi sasa nina wateja hawapungui 20 wamenicheki.

Kimsingi vipo vitu vingi ila utaelewa endapo hutaacha mentality za wasio na elimu kuhusu group za wasapu na mitandao kwa ujumla.

NB: kama hauna group hata moja la whatapp inamaana wewe huna interest au kujihusisha na kitu chochote hapa Duniani.
 
Kwa wewe ni sawa kabisa ila sio lazima niwe na groups kibao wakati mwingine sioni sababu km mambo yangu naweza kuyamaliza kupitia social network tofaut na groups km hivyo mfano hapa jf kuna majukwaa kibao ya kiuchumi kwani siwez fanikisha mipango na ikaenda sawa mkuu kimsingi nakuunga mkono kwa upande mwingine tuseme inategemea na inshu zako zimekaaje pia?! Ila wapo ambao hutumia groups kufanya ujinga tu nahis hawa ndio wengi zaid kuliko watu dizain km wewe mkuu so kimsingi nimeelewa hoja yako vema naomba nikupongeze pia ktk hilo mkuu.
Mkuu JF haipo frexible kama Whatsapp na na JFvhaiwezi kuwa mbadala wa Whatsapp kama unalijua hilo mkuu kunavitu vitaanzia JF vitahitaji kumalizikia Whatsapp, kuna vitu vitakuwa whatsapp vitahitaji kuji-expose JF pia hivyohuvyo FB na IG kila mtandao una umuhimu wake na unauzito wake kwenye kipengele fulani
 
Back
Top Bottom