Kuwa kwenye makundi mengi ya WhatsApp ni ujanja au ushamba?

Wingi wa magroup si hoja. Cha muhimi ni quality ya discussions zinazoendelea kwenye group husika. Mi nikiingia kwa group nikaona hakuna original contents ni FWs tuu tena za mambo yaso na maana na left haraka
 
Wewe km mimi mkuu....
Wingi wa magroup si hoja. Cha muhimi ni quality ya discussions zinazoendelea kwenye group husika. Mi nikiingia kwa group nikaona hakuna original contents ni FWs tuu tena za mambo yaso na maana na left haraka
 
Nakuelewa vema mkuu ila wengi wao hujikuta wapo na groups nyingi ila mwisho wa siku hazina maana kwao na kujikuta wanapoteza muda wao kwa kuchat chat vitu visivyo na maana ila unachosema ni kwel kila kitu kina kazi yake na haviwezi kuendana kwa 100%
 
Magroup yanatumika kupeana updates mbalimbali kwa mfano biashara, misiba, sherehe, siasa, uchumi,kilimo n.k
kwa mfano mimi nina magroup ya niliosoma nao chuo, sekondari, kanisani, group la kinadada na biashara
Mi magroup ya shule nimeyakataa. Sina "bond" tena na watu niliosoma nao ukiacha wachache waliokua marafiki wa karibu na bado tunawasiliana. Watu wangwa karibu ni ninaoishi nao na kufanya kazi nao. Hao wengine dunia ilishatutenganisha.
Tulishawahi kujaribu kufanya reunion ya primary school pale 777 dsm ikabuma. Watu walikuja lakini tukaishia uko wapi na bla bla nyingine na kusanifiana (kinywaji kilivyokolea) Tumejikuta tuko tofauti kabisa. Kuna mchungaji, walevi, criminals, lawyers etc.
 
Mie ma group yalinishinda nadhani naangukia ktk ushamba

Ingawa baadhi ya maoni ya wadau naona wengine wana faida nayo ,wengine yanawazingua
 
Nimejikuta nafika mbali kimawazo mkuu [emoji3] dah ila hamuwezi kuwa sawa mkuu maana kila mtu ana tabia yake... Sisi pia iliwahi kutokea jambo km hilo en huwa sipendi kwanza mazoea na watu ambao nilisoma nao maana wengine hata hatuka friends huko nyuma now itakuaje km sio kuchorana tu..
 
Mkuu kuwa na group kwako ni dhambi ??.
 
Binafsi nna group moja tu la family...
Huwa nawashangaa sana wale wenye groups karibu 50+ za Whatsapp hivi huu ni ujanja au ni ulimbukeni? Isije kuwa mie ndio mshamba?!
Tatizo kila anaandika JF basi anataka aonekane ni msomi au Mwenyewe uelewa mkubwa
Inawezekana wewe ukawa mchoyo mbinafsi
Ant social
Mwache kila mtu afanye kile achotaka kufanya ili mradi asivunje sharia za nchi
Kuna wengine wanatuona sisi tuliopo humu JF ni wajinga,watu wabaya sana kila mtu anamchukulia mwenzake tofauti
 
Sio dhambi ila inadepends na hilo groups lina mantiki gan kwang... Ila sio km sina group ninalo ila ni la family ila mengine yalishanishinda kabisa mkuu
Mkuu kuwa na group kwako ni dhambi ??.
 
Tatizo kuna watu humu wanisi wao wanajua kila kitu kusema ushamba
Safi sana
 
Nimekusoma mkuu kila mtu ana uhuru wa mambo yake ila nimejaribu tu kuuliza kutaka kujua je iko vipi hii mkuu
 
hivi vitu vinaenda kwa mahitaji...kila mtu ana hitaji lake...

hitaji lako linaweza likawa siyo hitaji kwa mwenzako nalamwenzako pia ikawa hivyohivyo kwako

kwa mfano mimi nina groups hazizidi tatu kutokana na mahitaji yangu lakini siwezi kumshangaa mwenye groups zaidi ya 3 sababu siwezi jua mahitaji yake kwenye hizo groups

kwahiyo hili suala huwezi kuliongea katika mjumlisho
 
Kuna mmoja alinambi sasa JF wewe inakusaidia nini ?
 
You got brain mkuu.
 
Mimi ndio napata FAIDA kulikoni ninyi wote mlichangia uzi huu ata mtoa mada mwenyewe nahisi bado kunifikia mimi FAIDA nazopata. Mimi nina magroup MATANO ya WhatsApp ambayo ni ya ngono(xxxvideoz) na Nafaidika sana kuwepo humo kulikoni kuwepo kwenye magroup ambayo hayana Tija yoyote kwenye maisha yangu.

Nna nguo chafu nyingi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…