Kuwa kwenye makundi mengi ya WhatsApp ni ujanja au ushamba?

Mkuu usinichekeshe aseeew bika shaka hizo nguo chafu ni matokeo ya hizo pono[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wafanyakazi wenzio je? I mean group la kazini
 
Binafsi nna group moja tu la family...
Huwa nawashangaa sana wale wenye groups karibu 50+ za Whatsapp hivi huu ni ujanja au ni ulimbukeni? Isije kuwa mie ndio mshamba?!
We unafikiriaje?
 
Niujanja na niushamba pia inategemea na magroup uliyonayo yana faida au hasara gani kwako
 
Sina group hata moja

Umeconclude vibaya hapa mwisho ofcourse
 
Magroup yanatumika kupeana updates mbalimbali kwa mfano biashara, misiba, sherehe, siasa, uchumi,kilimo n.k
kwa mfano mimi nina magroup ya niliosoma nao chuo, sekondari, kanisani, group la kinadada na biashara
Wewe unaelewa..wanaosema n ushamba waendelee kuwaza hivo hivo
 
Labda nikupe mfano

Nijihusisha na: ujasiriamali & kusoma

Napendelea: Movie, Games na vitabu

Napenda jifunza: IT, Ufugaji, kilimo na forex
Hivi tunaongelea nn hapa mkuu

mi na njaa kinoma ukiona mtu anauza bagia huko tsup nshtue

Simu alishka mwanangu swaleh msamehe ...

Na magroup kama kumi na tano ya jinsi ya kujiua haraka
 
Tatizo wewe kichwa kigumu ndio maana tumefika huku mpaka nimekufundisha kujibu ungelikuwa na uwezo wa kujibu kama nilivyokuonesha tungefika conclusion fasta tu.
Hivi tunaongelea nn hapa mkuu

mi na njaa kinoma ukiona mtu anauza bagia huko tsup nshtue

Simu alishka mwanangu swaleh msamehe ...

Na magroup kama kumi na tano ya jinsi ya kujiua haraka
 
Issue sio idadi ya groups za whatsap, bali nini mnajadiri huko. Kuna baadhi ya magroup kila siku wanafanya kuforward vitu vya ajabu kutoka group moja mpaka jingine. Magroup mengine yemegeuka kuwa ya michango ya harusi, misiba etc.
 
Basi we baki na mitazamo yako hiyo waache wenye grp nyingi wafanye yao. Eti uliesoma nae atakusaidia nini kwa mfano! ovyo kabisa.
 
Inategemeana na status yako. Kuna watu mnalishwa na wazazi haudaiwi kodi ya nyumba, haudaiwi ada ya mwanao ama mdogo wako, haudaiwi hela ya matumizi ya nyumbani kwako, so hata ukiwa na group moja sio ishu. Biashara siku hizi imehamia kwenye magroup ya telwgram na whatsap na mpesa, tigo pesa nk. So mm ninayo kama 25 kuna ya kazini, familia, group moja tu la kupiga umbea nalo huwa halina post hata wiki nzima
 
Kwani kuna ulazima niwe na group la niliosoma nao mkuu.... Hakuna sababu za msingi km hakuna ulazima maana tulishamalizana nao huko huko school km ni wa msingi nadhan sio lazima tukutane kwa group..
Basi we baki na mitazamo yako hiyo waache wenye grp nyingi wafanye yao. Eti uliesoma nae atakusaidia nini kwa mfano! ovyo kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…