Kuwa makini kijana usije juta kama nilivyo juta

Ndugu yangu kuna namna huwa nawaelewa wanawake hasa akinionyesha nipo pekeangu... Yan huwa siangalii mwingine sasa tatizo ni kama anasema hatoi mchezo kabla ya kuolewa siwez kuelewa sababu nikipenda napenda... Me siwez kujielezea ila i am very very BOLD...
So ujua mamboo maana ndio muhimu na matunzo
 
Mimi kama you're mwanamke wangu nakususia kila kitu... Sasa kama unaanza makando kando pia ni mrahis kupotea.. Kuweka naweka kweli na kukutunza niseme kweli mpaka uwe na discipline.... Sipend nipoteze nguvu nyingi na pesa kwa kitu hakina future
 
Ndio mie hapo nasemea future napenda niwe namtu mwenye future na Mimi laasivyoo basi
 
Me sipend makando kando nikisema nipo na wewe sitak useme tunaishia leo, wa kuishia siku moja wako wengi ila wanawake wanaoeleweka wakufanya nao maisha ni wachache
 
Back
Top Bottom