Kuwa makini kijana usije juta kama nilivyo juta

Kuwa makini kijana usije juta kama nilivyo juta

Hapo kwenye kumwamini ndio ulipuyanga. Wanawake ni kama wanasiasa hutakiwi kuwaamini

Nadhani waliosema tuishi nao kwa akili walikua wanamaanisha tusiwaamini.
 
Hapo kwenye kumwamini ndio ulipuyanga. Wanawake ni kama wanasiasa hutakiwi kuwaamini

Nadhani waliosema tuishi nao kwa akili walikua wanamaanisha tusiwaamini.
Wanawake=wanasiasa haha
 
Una hamu na nani sasa kama ke huna hamu na sisi?🤣🤣🥲
Umenielewa vibaya...I mean imani, ile kitu siacha hadi mwisho wa maisha, kitu ni njema sema waliokabidhiwa ndio hivyo tena😅
 
Nilimuamini, nikamthamini, nikampenda kumbe mke wa mtu.
Screenshot_20230415-141101.jpg
 
Single wengi wafannya biashara, kama huwezi kubeba shida zake hatulii na wewe.

Mapenzi ya kisasa magumu sana
Kwani wewe ni baba yake kunawatu wanapenda kuwa serious na majamaa zao, watu ni wavumilivu, wanajali ila mie hadi uwe umeniposa au umenioa aisee siwezi shea nyota yangu nawewe
 
Back
Top Bottom