Anua tanga.. Pangusa vumbi chapa lapa... Biashara imeisha iyo.. Huko police hutapata msaada wa maana zaidi ya kutolewa upepo zaidi...Wakuu kwema..
Mambo ya online business kuna page Instagram wanauza iPhone, nikachati na muuzaji anauza simu used kutoka UK nilitaka iPhone 7+ wao wanauza 450,000 nikawaomba wakanipunguzia mpka 430,000 ijumaa ya tarehe 22 nikawatumia pesa kwa tigo pesa wakala ...mwenyewe anadai duka lipo Zanzibar simu ukisha order inakuja na boat ya mchana kwa maelezo yake.... Nilivotuma hiyo pesa aka confirm kwamba kapokea akiniahidi kwamba atanipa mamba ya mtu anaefanya delivery huku Dar ndo maongezi yakaishia hapo...kila nkimwambia anitumie hiyo namba kimya na kaniblock jamani naombeni msaada nataka niende police je kuna utaratibu gani huko kwa kesi za kutapeliwa mtandaoni....?? Naombeni muongozo karibuni
Yani amezikwaaa jumlaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa sisi wakristo tunasemaga BWANA AMETOA BWANA AMETWAA.....
Sent from my SM-M105F using JamiiForums mobile app
Hiviii unaanzaje kuingia king kirahisi hivii????Jamaa awa wa Instagram ni matepeli hivyo hivyo na mimi nilitapeliwa 270K TZS nilikuwa nataka kununua laptop wakaniambia nitume pesa nusu kwanza nikatuma laki mbili na nusu. Nilivyo tuma wakaniambia awawezi kutuma uwo mzigo kwa agent wao eti kwasababu ya corona wana avoid social distancing kwaiyo ni hatari kwa agent wao wakanitaka nimalizie kiasi cha pesa kilicho baki ndyo waitume mimi nikagoma. Then wakani block. Nimesha potezea coz ni mda sasa lakini siyo mbaya coz nimejifunza kitu. Biashara mtandaoni imejaa utapeli jiahari
Hahahaaa . ..,..............JINA LA BWANA LIHIMIDIWE!Kwa sisi wakristo tunasemaga BWANA AMETOA BWANA AMETWAA.....
Sent from my SM-M105F using JamiiForums mobile app
Wakuu kwema..
Mambo ya online business kuna page Instagram wanauza iPhone, nikachati na muuzaji anauza simu used kutoka UK nilitaka iPhone 7+ wao wanauza 450,000 nikawaomba wakanipunguzia mpka 430,000 ijumaa ya tarehe 22 nikawatumia pesa kwa tigo pesa wakala ...mwenyewe anadai duka lipo Zanzibar simu ukisha order inakuja na boat ya mchana kwa maelezo yake.... Nilivotuma hiyo pesa aka confirm kwamba kapokea akiniahidi kwamba atanipa mamba ya mtu anaefanya delivery huku Dar ndo maongezi yakaishia hapo...kila nkimwambia anitumie hiyo namba kimya na kaniblock jamani naombeni msaada nataka niende police je kuna utaratibu gani huko kwa kesi za kutapeliwa mtandaoni....?? Naombeni muongozo karibuni
Wakuu kwema..
Mambo ya online business kuna page Instagram wanauza iPhone, nikachati na muuzaji anauza simu used kutoka UK nilitaka iPhone 7+ wao wanauza 450,000 nikawaomba wakanipunguzia mpka 430,000 ijumaa ya tarehe 22 nikawatumia pesa kwa tigo pesa wakala ...mwenyewe anadai duka lipo Zanzibar simu ukisha order inakuja na boat ya mchana kwa maelezo yake.... Nilivotuma hiyo pesa aka confirm kwamba kapokea akiniahidi kwamba atanipa mamba ya mtu anaefanya delivery huku Dar ndo maongezi yakaishia hapo...kila nkimwambia anitumie hiyo namba kimya na kaniblock jamani naombeni msaada nataka niende police je kuna utaratibu gani huko kwa kesi za kutapeliwa mtandaoni....?? Naombeni muongozo karibuni
Mjub[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]I phone 7plus kwa 450k umewahi ona wapi hyo bei mzee? Hata kama imetumika nje. Ndo ujifunze uache kupenda vya RAHISI kuwa makini next time Mjuba
Hivi unaanzaje kumtumia mtu 430k kirahisi hivyo? Akili za kuvukia barabara tu hizo.Tatizo wengi mshazoea mteremko
Na kwa sababu wanajua mnapenda mteremko lazima
Mpigwe......
Any way pole
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app