rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 22,163
- 43,988
Mkuu kuna watu hela zao hazina kazii...!!Hivi unaanzaje kumtumia mtu 430k kirahisi hivyo? Akili za kuvukia barabara tu hizo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kuna watu hela zao hazina kazii...!!Hivi unaanzaje kumtumia mtu 430k kirahisi hivyo? Akili za kuvukia barabara tu hizo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani huyo dada ni msukuma?Wasukuma mtaendelea kupigwa kila siku
Mjub[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
With deep regrett and without respect..Kwanini mnapenda kuingiza ukabila?? Na kupandikiza sumu hii inayo tapakaa ktk jamii... Tuwe wastaarabu hata 20% !!Wasukuma mtaendelea kupigwa kila siku
Weka link ya page yao hapaWakuu kwema..
Mambo ya online business kuna page Instagram wanauza iPhone, nikachati na muuzaji anauza simu used kutoka UK nilitaka iPhone 7+ wao wanauza 450,000 nikawaomba wakanipunguzia mpka 430,000 ijumaa ya tarehe 22 nikawatumia pesa kwa tigo pesa wakala ...mwenyewe anadai duka lipo Zanzibar simu ukisha order inakuja na boat ya mchana kwa maelezo yake.... Nilivotuma hiyo pesa aka confirm kwamba kapokea akiniahidi kwamba atanipa mamba ya mtu anaefanya delivery huku Dar ndo maongezi yakaishia hapo...kila nkimwambia anitumie hiyo namba kimya na kaniblock jamani naombeni msaada nataka niende police je kuna utaratibu gani huko kwa kesi za kutapeliwa mtandaoni....?? Naombeni muongozo karibuni
Hii haiitaji umakini inahitaji akilii[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Pole sana next time kuwa makin
Yani daah balaa tupu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Usawa huu ukipigwa 430k aisee unaweza hisi kuzimiaaa[emoji23][emoji23] unalipaje 430k alafu utake kupewa i phne 7plus labda na MAJINI
Wajuba noma sanaanaona ulipanga kutapeliwa. katazame clips za wajuba kujiliwaza
wewe ni mpumbavuWasukuma mtaendelea kupigwa kila siku
Hivi unaanzaje kumtumia mtu 430k kirahisi hivyo? Akili za kuvukia barabara tu hizo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kumpoteza mwenzakooo... Hela ya kutuma mtandaoni hakuna hata mahali mmeandikishiana aiseee asahau tuu tena akitaka kujidai kwenda polisi atapoteza pesa nyingine zaidifuata huo utaratibu polisi maadam hiyo tigopesa namba ipo nafasi anaaccount huko instagram atapatikana..... Japo Itabidi kidogo pesa ikutoke but najua utaipata...