Kuwa Makini: Kuna Matapeli huko Instagram wanaodai kuuza iPhone na Smart TV etc wakidai wapo Pemba au Zanzibar

Kuwa Makini: Kuna Matapeli huko Instagram wanaodai kuuza iPhone na Smart TV etc wakidai wapo Pemba au Zanzibar

wanawake hasa wanafunzi wa vyuo wanalizwa sana, mbaya zaidi ni aibu hivyo hawasemi wanabaki kugawa utelezi kufidia utapeli waliolizwa.
Ukwel mkuu anaona iphone X Zanzibar inauzwa laki 4 huku dar inauzwa 1M anatuma hela yote ya akiba anaingizwa mjini
 
Jamaa awa wa Instagram ni matepeli hivyo hivyo na mimi nilitapeliwa 270K TZS nilikuwa nataka kununua laptop wakaniambia nitume pesa nusu kwanza nikatuma laki mbili na nusu.

Nilivyo tuma wakaniambia awawezi kutuma uwo mzigo kwa agent wao eti kwasababu ya corona wana avoid social distancing kwaiyo ni hatari kwa agent wao wakanitaka nimalizie kiasi cha pesa kilicho baki ndyo waitume mimi nikagoma. Then wakani block.

Nimesha potezea coz ni mda sasa lakini siyo mbaya coz nimejifunza kitu. Biashara mtandaoni imejaa utapeli jiahari
Daah hii hatar😂😂, kwa hiyo kukataa kuongeza kosa
 
Wakuu kwema.

Mambo ya online business kuna page Instagram wanauza iPhone, nikachati na muuzaji anauza simu used kutoka UK nilitaka iPhone 7+ wao wanauza 450,000 nikawaomba wakanipunguzia mpka 430,000 ijumaa ya tarehe 22 nikawatumia pesa kwa tigo pesa wakala.

Mwenyewe anadai duka lipo Zanzibar simu ukisha order inakuja na boat ya mchana kwa maelezo yake. Nilivotuma hiyo pesa aka confirm kwamba kapokea akiniahidi kwamba atanipa namba ya mtu anaefanya delivery huku Dar ndio maongezi yakaishia hapo.

Kila nkimwambia anitumie hiyo namba kimya na kaniblock jamani naombeni msaada nataka niende police je kuna utaratibu gani huko kwa kesi za kutapeliwa mtandaoni?

Naombeni muongozo karibuni.

======
UPDATE:

NOTE: Matapeli hawa hawaruhusu comments kwenye pages zao na wanafanya promotion ya contents zao (Sponsored) katika m

Hizi hapa ni baadhi ya akaunti zinazofanya utapeli Instagram

View attachment 1684371
View attachment 1684361
View attachment 1684372
Zanzibar electronics og bana walinitapeli ka laki 3 kangu.
Duka lipo Pemba jirani na bank gani gani sijui. Lkn hadi leo hii toka last year bidhaa yangu haikufika.
Namba zao hadi leo hua zinapatikana.
Nikiwa nimefulia ndo hua nakumbuka ka ela kangu jamani 😂
 
Screenshot_20231029_172615_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom