Kuwa Makini: Kuna Matapeli huko Instagram wanaodai kuuza iPhone na Smart TV etc wakidai wapo Pemba au Zanzibar

Kihalisia wengi unakuta hata hawako zanzibar. Wanatumia mwanya huo ili kuwe na kile kipengele cha tunatuma mizigo bara ili utapeliwa unakuta kumbe tapeli liko hapahapa mjinišŸ˜€šŸ˜€
Kaa chonjo ni hatari
 
Ilibaki kidog niingie mkenge hapa kuna vitu vingi navitamani ila Bora nikate tiketi niende mwenyew
Ni kweli bora uende mwenyewe,maana wengi wamejaa wakijitanabaisha wanauza vifaa vya electronics kumbe ni matapeli na wapo wengi sana huko Instagram.
 
Mimi naomba mtu anayefahamu duka la ukweli lililopo hapo Zanzibar anipe namba au account yao ya Instagram niweze kuagiza mzigo

Uwe umefika tafadhali nisije kuingia mkenge wa matapeli!

Nahitaji TV
 
Wakuu kwema.

Mambo ya online business kuna page Instagram wanauza iPhone, nikachati na muuzaji anauza simu used kutoka UK nilitaka iPhone 7+ wao wanauza 450,000 nikawaomba wakanipunguzia mpka 430,000 ijumaa ya tarehe 22 nikawatumia pesa kwa tigo pesa wakala.

Mwenyewe anadai duka lipo Zanzibar simu ukisha order inakuja na boat ya mchana kwa maelezo yake. Nilivotuma hiyo pesa aka confirm kwamba kapokea akiniahidi kwamba atanipa namba ya mtu anaefanya delivery huku Dar ndio maongezi yakaishia hapo.

Kila nkimwambia anitumie hiyo namba kimya na kaniblock jamani naombeni msaada nataka niende police je kuna utaratibu gani huko kwa kesi za kutapeliwa mtandaoni?

Naombeni muongozo karibuni.

======
UPDATE:

NOTE: Matapeli hawa hawaruhusu comments kwenye pages zao na wanafanya promotion ya contents zao (Sponsored) katika m

Hizi hapa ni baadhi ya akaunti zinazofanya utapeli Instagram

View attachment 1684371
View attachment 1684361
View attachment 1684372

pole sana, mwaka jana nami nilitapeliwa laki 4 niliagiza smart tv kwa mtu anajiita said electronics kuja kugundua nimeshatapeliwa na akaniblock, lakini nikapotezea maana najua mtu anaeiba cha mtu ameshalaanika na mwisho wake ni mbaya atazitapika tu
 
Ntumie mie laki 4 nauza TV pia 😁
 
mkuu pole sana hilo ni kosa kisheria, na tunaweza ita kajipatia fedha kwa njia ya udanganyifu au kuaminika ka sijakosea. unaweza kwenda kituo cha polisi na ukapata msaada hakuna mwizi smart kiasi ambacho haachia ushahidi nyuma ambao utasaidia kukamatika kwakee.
Ni kweli mkuu hakuna uhalifu usioacha ushahidi. Mathali kwa tukio tajwa la mdau mwenzetu polisi kitengo cha Forensic wanaweza kumsaidia. Kuna namna nyingi ikiwemo kupitia namba alizotumia kufanya naye mawasiliano, siku/muda / eneo gani. TCRA wanao uwezo wa kuchip ID yake kupitia usajili wa simu na line, kujua location alipo na hata kupitia links za mawasiliano baina ya namba iliyohusika kwenye uhalifu na namba nyenginezo, more advance tracking method ni kupitia: image catch, facial & voice recognition, tracker mbalimbali n.k......
Kama tutakubali kuunda ushirikiano mzuri kati yetu na mamlaka husika au ushirikiano wa kusaidiana sisi kwa sisi japo kw ushauri wenye tija ni dhahiri Digital Market itakuwa ni sehemu salama na rahisi kwa biashara. Mara nyingi Tabia zetu za kubezana au zenye kutanguliza zaidi lawama au matani kwenye jambo 'serious' hutukosesha kufaidi manufaa halisi/ yanayokusudiwa kwa aina hizi za mitandao ya kijamii , hivyo majukwaa mengi hupoteza maana halisi ya kuanzishwa - TUBADILIKENI JAMANI.
Kama swala la Uhalifu wa mitandao ni kweli upo na unaweza kumkuta yeyote hata wewe. Wahalifu wanabadilika kila wakati kulingana namna ya reaction watakazokutana nazo hivyo usishangae Tukiaamua kuulizana kati yetu sote ukakakuta asilimia zaidi ya tini tumeshawahi kutapeliwa kama sio mitandaoni basi ukiwa kwenye physical Market kwa namna yeyote ile. Nawasilisha!
 
Shida ni kwamba gharama za kufanya hiyo process ni kubwa kuliko pesa uliyotapeliwa ndo maan wengi wanaamua kupotezea
 
Kuna mmoja niliongeane nikamuuliza nalipiaje akasema unalipa kwa bank na Mpesa nika uliza banki gani akani jibu barclays [emoji15][emoji15]
Nikajiuliza kweli mfanya biashara hata benki ya malipo hajui kama imebadilishwa jina.
Nika mwambia nipe account number ilikuwa Desember Mpaka leo nasubiri anitumie account number
 
Wakuu kwema.

Mambo ya online business kuna page Instagram wanauza iPhone, nikachati na muuzaji anauza simu used kutoka UK nilitaka iPhone 7+ wao wanauza 450,000 nikawaomba wakanipunguzia mpka 430,000 ijumaa ya tarehe 22 nikawatumia pesa kwa tigo pesa wakala.

Mwenyewe anadai duka lipo Zanzibar simu ukisha order inakuja na boat ya mchana kwa maelezo yake. Nilivotuma hiyo pesa aka confirm kwamba kapokea akiniahidi kwamba atanipa namba ya mtu anaefanya delivery huku Dar ndio maongezi yakaishia hapo.

Kila nkimwambia anitumie hiyo namba kimya na kaniblock jamani naombeni msaada nataka niende police je kuna utaratibu gani huko kwa kesi za kutapeliwa mtandaoni?

Naombeni muongozo karibuni.

======
UPDATE:

NOTE: Matapeli hawa hawaruhusu comments kwenye pages zao na wanafanya promotion ya contents zao (Sponsored) katika m

Hizi hapa ni baadhi ya akaunti zinazofanya utapeli Instagram

View attachment 1684371
View attachment 1684361
View attachment 1684372

Iphone 7+ mpya ni 580k hapa Dar. Ungeongeza 150k tu ungechana karatasi la simu mpya.

Kamserekoo kamekuponza
 
Na mimi nimeingia mtandaoni nimekuta jamaa 1 anauza LG smart inch 65 kwa 800,000 nawaza apa je ndio bei yake? nisije choma nauli mpka zanzibar wazoefu wa mtandao tafadhari msaada.
IMG-20221124-WA0003.jpg
 
[emoji445] Nikampa namba ya china,kumbe namba ya kichina samahani namba unayo piga umepigwa...[emoji444][emoji445]

Iko mambo,iko mambo hapo...
 
Back
Top Bottom