Kuwa Makini: Kuna Matapeli huko Instagram wanaodai kuuza iPhone na Smart TV etc wakidai wapo Pemba au Zanzibar

Kuwa Makini: Kuna Matapeli huko Instagram wanaodai kuuza iPhone na Smart TV etc wakidai wapo Pemba au Zanzibar

Lakini bado mtu anachukua namba anapiga..
Screenshot_20200602-173229.png
 
Mimi mwenyewe nilimtumia nauli 20000 demu wa fesibuku akaniblock.....tokea siku hyo,demu Kama Hana nauli ya kuja kwangu situmi hata iwe ni buku TU situmi...

Nishajifunza.
 
... there is nothing in life without a risks..lakini hyo ni avoidable risk,

Kuwa mpole tu kikubwa..afya na muda jombaa
 
iPhone imemuingiza mitini jamaa, anyway pole sana
 
Wakuu kwema.

Mambo ya online business kuna page Instagram wanauza iPhone, nikachati na muuzaji anauza simu used kutoka UK nilitaka iPhone 7+ wao wanauza 450,000 nikawaomba wakanipunguzia mpka 430,000 ijumaa ya tarehe 22 nikawatumia pesa kwa tigo pesa wakala.

Mwenyewe anadai duka lipo Zanzibar simu ukisha order inakuja na boat ya mchana kwa maelezo yake. Nilivotuma hiyo pesa aka confirm kwamba kapokea akiniahidi kwamba atanipa namba ya mtu anaefanya delivery huku Dar ndio maongezi yakaishia hapo.

Kila nkimwambia anitumie hiyo namba kimya na kaniblock jamani naombeni msaada nataka niende police je kuna utaratibu gani huko kwa kesi za kutapeliwa mtandaoni?

Naombeni muongozo karibuni
pole
 
Wewe ni mjinga, tulia uliwe 0714
 
Fala wewe
 
kumbe kina wajinga mpaka leo,
ww hujafikiria kua huwezipata ophone 7 plus kwa 430,000
pili ulimuamini vp kuntumia pesa
 
Wakuu kuna mtindo wa hawa watu wanaotangaza biashara zao za vifaa vya electronics kutoka Zanzibar, wanaandika kwa Dar ni free delivery na bara wanatuma, kuweni makini na hawa watu ni matapeli.
Wamefungua page zao Instagram na zipo SPONSORED.kama hawa jamaa hapo chini.
MKIANGALIA PAGE NYINGI INSTAGRAM ZIMEANZA NA JINA LA MTU/KITU ALAFU LINAFUATA NENO ELECTRONICS ASILIMIA 99 YA HAO NI MATAPELI,wachache sana kukuta ni wakweli
Kwa mfano unakuta wanajiita
Musa electronics
hemedstore electronics,
tz.electronics,
muzamiru_electronics
mwimbwe electronics,
bm_electronics_tz
Na kadhalika

Hawa ni matapeli,wameshatapeli watu wengi sana.na wanakuwekea screenshot kujionesha walikua wanawasiliana na mteja alie mkoani akiwajibu tayari kapokea mzigo kumbe usanii tu, ukiangalia hata sehemu za comments kwenye page zao za Instagram wamezibock ili kuficha baadhi ya comments za watu wanaowaambia nyie ni matapeli.

Tunaomba serikali na jeshi la polisi liwafuatilie hawa watu wa aina hii na waanze na huyu maana wanaharibu sifa ya watu wengine walio serious wanaotangaza biashara zao kupitia mitandao kama Instagram.wao wanajisajili instagram wanapiga picha za vifaa mbalimbali vya electronics kumbe hawana duka wala nini. Wanaweka namba za simu kuwa trace na kuwakamata ni jambo jepesi tu,ili wasiendelee kuwarubuni watu.wanakuambia lipia mzigo nusu wakutumie mzigo,ukilipa tu wakipokea pesa hawapatikaniki tena.msiwaamini,
Watu waaminifu duniani siku hizi hakuna
Screenshot_20200623-133622_Instagram.jpg

Kutambua kua ni matapeli angalia page ya huyu anaye jiita Abdala mohamed Omary, hapo juu,page yake hio hio baada ya muda anabadilisha jina sasa anajiita Abdala ally Mangia,kama ilivyo page yake hio hio hapo chini kushoto,Anabadilisha jina mara kwa mara.
Na anaweka updates ya picha za vifaa vya electronics.kumbe ni tapeli

Hapo chini tena kulia amebadilisha tena jina ni tapeli huyo huyo wa hapo juu,kwa page yake ya Instagram hio hio,hapa chini kabadili picha pamoja na namba za simu, anajiita Ibrahim Chilagula kumbe ni tapeli yule yule.
Ana badili namba za simu na picha akiona ameshajulikana,ila inabidi ashughulikiwe huu ujinga ukomeshwe

Kuweni makini wakuu
 
Attachments

  • Screenshot_20200626-135738_Instagram.jpg
    Screenshot_20200626-135738_Instagram.jpg
    86.5 KB · Views: 27
  • Screenshot_20200627-135247_Instagram.jpg
    Screenshot_20200627-135247_Instagram.jpg
    81.4 KB · Views: 26
Ilibaki kidog niingie mkenge hapa kuna vitu vingi navitamani ila Bora nikate tiketi niende mwenyew
 
Hivi bado watu wanatapeliwa tu kwa mtindo??

Everyday is Saturday........................😎
 
Back
Top Bottom