jannelle
JF-Expert Member
- Feb 8, 2020
- 1,145
- 2,218
[emoji1787][emoji1787] dah we nawe bwanaUlikua ushajiandaa mwenyewe kuja kupandisha nyuzi za kuponda tecno zetuu[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787] dah we nawe bwanaUlikua ushajiandaa mwenyewe kuja kupandisha nyuzi za kuponda tecno zetuu[emoji23][emoji23][emoji23]
Kama hao ndio unakuta wanaziponda balaa...
SlopeLazima watakuwa walikuroga, huwezi tuma pesa kwa mtu usiemjua
Kabisa mkuu unakuta mtu anataka i.s.t new model kwa dola 1000 kwa nini asipate matapeli japan hapo!!
Ukishakuwa mtu wa kupenda virahisi lazima uumizweKabisa mkuu unakuta mtu anataka i.s.t new model kwa dola 1000 kwa nini asipate matapeli japan hapo!!
Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Uli abort mission[emoji16][emoji16]mchezo mchafu [emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]nishanusurika kupigwa 500k kwa s7 edge ila nikachomoa dk za mwisho kabisa
Hii Mbinu mkuu ndio ya kutumia siku zote.Licha ya kuibiwa kwenye simu kuna watu kila siku wanaibiwa elfu tanotano na wadada fake wa mtandaoniKuna dada alikua anauza laptop,nikaipenda tukaelewana bei nikaridhia,nikamwambia sasa tuonane nikague,akaniuliza kwani we uko wapi,nikamwambia niko Zenj,akasema yeye yuko dar nitume pesa ananitumia boti ya saa sita,nikagoma nikamwambia nitatuma ndugu yangu kesho yake waonane aikague then atawalipa watamkabidhi,akakubali kesho yake namtafuta nimwonganishe na ndugu yangu,naona porojo zimekua nyingi,mara yuko Tanga nimtumie pesa,nikamwambia nina ndugu Tanga nikuunganishe nae akague mkabidhiane,nikashangaa nimekula BLoCk matata!

Wakuu kwema..
Mambo ya online business kuna page Instagram wanauza iPhone, nikachati na muuzaji anauza simu used kutoka UK nilitaka iPhone 7+ wao wanauza 450,000 nikawaomba wakanipunguzia mpka 430,000 ijumaa ya tarehe 22 nikawatumia pesa kwa tigo pesa wakala ...
Mwenyewe anadai duka lipo Zanzibar simu ukisha order inakuja na boat ya mchana kwa maelezo yake.... Nilivotuma hiyo pesa aka confirm kwamba kapokea akiniahidi kwamba atanipa namba ya mtu anaefanya delivery huku Dar ndio maongezi yakaishia hapo...
Kila nkimwambia anitumie hiyo namba kimya na kaniblock jamani naombeni msaada nataka niende police je kuna utaratibu gani huko kwa kesi za kutapeliwa mtandaoni....?? Naombeni muongozo karibuni
Na huu unakua utapeli mwingine.Polisi wanakuambia lete 50k tupate Details toka kwenye Makampuni ya Simu tupewe Location. Baadae lete 50k tena ya Ukamataji na Blah Blah kibao
Mwisho wa Siku Gharama inafka uliyo tapeliwa na simu huipati
Yule ni tapeli usijaribu, anakuambia utume kwanza pesa, usijaribu kabisa.Daah mi Kuna simu nlitaka kuagiza kutoka Kenya,jamaa Wana cheap phone's almost 150k difference kwa Bei ya hapa bongo ila nmesita...msemo wa cheap is expensive