Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,522
- 14,005
Aliyetapeliwa na huyo boya hakufikiria ipasavyo.
Alikamatwa aliwe kiboga.
Alikamatwa aliwe kiboga.
Hao jamaa wamezagaa hapa mjini na wana watapeli watu sana mimi nimewashtukia nikaona niwajuze na wadau humu msije mkaingia mkenge.Hivi kweli polisi hawana undercover wa ku-burst ring Kama hizi??????.......
Kweli tuko low namna hii, wahujumu uchumi wanatamba hivi
Kihalisia wengi unakuta hata hawako zanzibar. Wanatumia mwanya huo ili kuwe na kile kipengele cha tunatuma mizigo bara ili utapeliwa unakuta kumbe tapeli liko hapahapa mjini😀😀Hao jamaa wamezagaa zanzibar na wana watapeli watu sana mimi nimewashtukia nikaona niwajuze na wadau humu msije mkaingia mkenge.
Tulia,tuko bize hapa Dodoma kuwachagulia rais wa huko kwenu Zanzibar.Hao sio Wazanzibari hao ni Watanganyika ambao wanatumia kichaka cha uaminifu uliojejengeka dhidi ya wazanzibari, kwa mfano kuna video yao moja waliiweka ya mafriji lile friji moja likareflect daladala ya temeke inapita.
Hiyo ni mitanganyika ambayo iko huko huko tanganyika inatapeliana wao kwa wao kwa kutumia jina la Zanzibar
Asilimia nyingi ya Wazanzibari wamekinai
Mkuu mm pia nilikuaa najipangaa mwezi wa sabaaaIlibaki kidog niingie mkenge hapa kuna vitu vingi navitamani ila Bora nikate tiketi niende mwenyew
Allah Shahid yangu wazanzibar nilioishi nao mm Ni mahasid wenye wivu wachoyo na wambeyya.Kwanza hakuna mzanzibari ata mmoja atakaeandika Omary, hilo ni jizi la kitanganyika linatumia kichaka cha ukarimu wa wazanzibari.
Tunatuma bara!Ilibaki kidog niingie mkenge hapa kuna vitu vingi navitamani ila Bora nikate tiketi niende mwenyew
Wanahangaika na Zitto na Bwege kwanza, hawa wezi ku deal na hao matapeliHivi kweli polisi hawana undercover wa ku-burst ring Kama hizi??????.......
Kweli tuko low namna hii, wahujumu uchumi wanatamba hivi
Tunaomba mamlaka husika iwafuatilie hawa watu maana wanawatapeli wananchi sanaWanahangaika na Zitto na Bwege kwanza, hawa wezi ku deal na hao matapeli
wewe ni me au ni ke 😀 😀 😀Allah Shahid yangu wazanzibar nilioishi nao mm Ni mahasid wenye wivu wachoyo na wambeyya.
Mamlaka iko busy kufungia Tanzania Daima ndg. Haya mambo hayawahusu🤣🤣🤣Tunaomba mamlaka husika iwafuatilie hawa watu maana wanawatapeli wananchi sana
Polisi iwafuatilie hawa watu maana kuwawekea mtego ni rahisi tu wanaweka namba za simu,kuwashika matapeli wa mitandaoni ni rahisi tu.kama huyu tena anajulikana kabisa huyu.Mamlaka iko busy kufungia Tanzania Daima ndg. Haya mambo hayawahusu🤣🤣🤣
SadaktaKwanza hakuna mzanzibari ata mmoja atakaeandika Omary, hilo ni jizi la kitanganyika linatumia kichaka cha ukarimu wa wazanzibari.