That Gentleman
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,228
- 3,715
Sawa mzungu.Wasukuma mtaendelea kupigwa kila siku
Sawa mzungu.Wasukuma mtaendelea kupigwa kila siku
Ha ha haaaaa,, ila kajamaa kangu kalibugi mastep sana! Unatuma pesa kwa mtu qmbaye hamjuani? Kazi kweli kweli! Mimi nikitapeliwa hivyo bora kukaa kimya!Hahahaa mpeleke akitoka huko mwambie simu mpya zimeingia tena Bei Chee atume tena tigopesa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda police na kama una mtu unamjua police atakusaidia vizuri...kama aliweka tangazo lame na ulichati nae wanampata fasta tu alipo hata kama line kavunjavunjaWakuu kwema..
Mambo ya online business kuna page Instagram wanauza iPhone, nikachati na muuzaji anauza simu used kutoka UK nilitaka iPhone 7+ wao wanauza 450,000 nikawaomba wakanipunguzia mpka 430,000 ijumaa ya tarehe 22 nikawatumia pesa kwa tigo pesa wakala ...
Mwenyewe anadai duka lipo Zanzibar simu ukisha order inakuja na boat ya mchana kwa maelezo yake.... Nilivotuma hiyo pesa aka confirm kwamba kapokea akiniahidi kwamba atanipa namba ya mtu anaefanya delivery huku Dar ndio maongezi yakaishia hapo...
Kila nkimwambia anitumie hiyo namba kimya na kaniblock jamani naombeni msaada nataka niende police je kuna utaratibu gani huko kwa kesi za kutapeliwa mtandaoni....?? Naombeni muongozo karibuni
wewe ni mpumbavu
Kwanza ni uzembe kuibiwa hivyo c unamwambia atakae nipo mzigo Ndio nitakae mpa pesaKhaaaaa
Pole mkuu, Yaaani ukishaona Mtu anauza bidhaa hasa electronics Anadai ana Duka na ni nje ya Dar halafu haanzi kwa kutaja exact location Anajinadi kusema popote tunakutumia, Anza kutumia akili yako vizurii....
Wanatumia trick ya nje ya dar hasa zanzibar maana wanajua Ni ngumu kuifuata,
Na anajua wateja wengi wapo Dar, au Ana ndugu Dar, hivyo akikuambia yupo Dar ni simple tuu utahitaji kumuona au kutuma mtu.
Huyo ni tapeli, hauzi simu na Asilimia kubwa yupo Dar...
Ila vitu vingine ni kujiongeza tuu, sasa kweli mtu anakuambia Anauza simu, yupo Manyara, Tabora, Iringa(kupatana wamejaa hawa) Ukiangalia Mazingira ni bonge ya Duka, Bei nayo hata ya China haioni ndani....
Khaaa sasa kweli kweli kwelii mtanzania mwenzangu Duka la Simu bei chee tena iphones na Macbook za maana likose kote kwa kukaa likae Mara na sumbawanga?????
Halafu pia hii habari ya mjini ya sasa ya free delivery ndio inawaumiza watu..
Ni nzuri ila kiafrica wengi wana mlengo wao mwingine..
Na binafsi hata kama hamna utapeli, sio mpenzi wa biashara za free delivery hasa zile ambazo zinahitaji ukaguzi, bora hizi za kimataifa za kuagiza nje, ila bongo uaminifu bado sana
Raha ya biashara uone bidhaa, ukague, ulidhike, ulipe uchukue..
Sio ulipe uletewe, ulazimike kuchukua,
Ukienda dukani waweza ukutane na option nyingi quality tofauti tofauti uamue mwenyewe ya kuchukua.
sawa mkuu hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yalaaah! Jiwe gizan
Ukawaambie na POLISI,waache kuuliza kabila,na hospitalini pia.With deep regrett and without respect..Kwanini mnapenda kuingiza ukabila?? Na kupandikiza sumu hii inayo tapakaa ktk jamii... Tuwe wastaarabu hata 20% !!
Samahani kama nimekwaza hisia ya mtu!!
Mkaruka una roho ngumu sana kaka eti ''IMEISHA HIYO'' 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛Imeisha Hiyo.
Kuwa Smart Next Time.
Na jina la bwana liidimiweKwa sisi wakristo tunasemaga BWANA AMETOA BWANA AMETWAA.....
Sent from my SM-M105F using JamiiForums mobile app
lishughulikiwa .. kuwa na Amani.Ukawaambie na POLISI,waache kuuliza kabila,na hospitalini pia.
Jibu zuri sana, potezea hiyo pesa!Imeisha Hiyo.
Kuwa Smart Next Time.
Siyo Roho Ngumu Mzee.Mkaruka una roho ngumu sana kaka eti ''IMEISHA HIYO'' 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛