Adamjuma94
JF-Expert Member
- May 29, 2017
- 3,292
- 4,752
alafu watu wakiona page ina 10k ,20k au 100k wanajenga auminifu fasta sijui kwanini,wakati hizi account zinauzwa unaweza kuta mtu hayuko hata kwa muda mrefu kwenye business na anajiunga leo na instagram,akaamua kununua tu account yenye follower wa kutosha na kuanza kuupload picha za biashara yake.