fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,606
- 8,270
mreport tcra atakamatwa mara moja
Hao jamaa wameweka location ya duka lao kuwa lipo Mwemberadu, mimi nipo huku Zanzibar na Mwemberadu kuna jamaa yangu anaishi hapo. Mwemberadu yote hakuna duka la simu, kuna maduka ya vifaa vya magari (motor vehicle used spare parts), maduka ya TV used na mpya pamoja na maduka ya vifaa vya nyumbani. Halafu kwenye account yao ya Instagram wamezuia comments jiulize kwanini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Astuke wakati analiona slopeHaijawahi kutokea iphone 7 ikawa na bei ya ajabu kama hiyo ulipaswa kustuka
Hapo Novena au Albadri tu 😲Mshtakie Mungu 👍Wakuu kwema..
Mambo ya online business kuna page Instagram wanauza iPhone, nikachati na muuzaji anauza simu used kutoka UK nilitaka iPhone 7+ wao wanauza 450,000 nikawaomba wakanipunguzia mpka 430,000 ijumaa ya tarehe 22 nikawatumia pesa kwa tigo pesa wakala ...
Mwenyewe anadai duka lipo Zanzibar simu ukisha order inakuja na boat ya mchana kwa maelezo yake.... Nilivotuma hiyo pesa aka confirm kwamba kapokea akiniahidi kwamba atanipa mamba ya mtu anaefanya delivery huku Dar ndo maongezi yakaishia hapo...
Kila nkimwambia anitumie hiyo namba kimya na kaniblock jamani naombeni msaada nataka niende police je kuna utaratibu gani huko kwa kesi za kutapeliwa mtandaoni....?? Naombeni muongozo karibuni
khaaaaa....
Yaaani ukishaona Mtu anauza bidhaa hasa electronics Anadai ana Duka na ni nje ya Dar halafu haanzi kwa kutaja exact location Anajinadi kusema popote tunakutumia, Anza kutumia akili yako vizurii....
We ni "Boya" sina la kuongeza!Wakuu kwema..
Mambo ya online business kuna page Instagram wanauza iPhone, nikachati na muuzaji anauza simu used kutoka UK nilitaka iPhone 7+ wao wanauza 450,000 nikawaomba wakanipunguzia mpka 430,000 ijumaa ya tarehe 22 nikawatumia pesa kwa tigo pesa wakala ...
Mwenyewe anadai duka lipo Zanzibar simu ukisha order inakuja na boat ya mchana kwa maelezo yake.... Nilivotuma hiyo pesa aka confirm kwamba kapokea akiniahidi kwamba atanipa mamba ya mtu anaefanya delivery huku Dar ndo maongezi yakaishia hapo...
Kila nkimwambia anitumie hiyo namba kimya na kaniblock jamani naombeni msaada nataka niende police je kuna utaratibu gani huko kwa kesi za kutapeliwa mtandaoni....?? Naombeni muongozo karibuni
Ni rahisi kama huyo poti ni mjomba wako au kaka yako. Kinyume na hapo kunaambata na gharama.Nenda police au TCRA, kuwapata ni rahisi maana namba zina sajiliwa mkuu
Mkuu unanifundisha Maana ya online business?UNACHEMKA!
ONLINE business haihitaji uwe na duka la tofali na cement, brick and mortar store.
Jeff Bezos alipoanza kuunga unga biashara za mitandaoni hakuna mtu aliyekuwa anamuuliza dukani kwako wapi? Nyumbani kwako wapi? Hakuwa na duka wala nyumba!
Online business by definition HAKUNA KUKUTANA!
Aisee we jamaa nimecheka ******* kusema kweli 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kwa sisi wakristo tunasemaga BWANA AMETOA BWANA AMETWAA.....
Sent from my SM-M105F using JamiiForums mobile app
Huyu jamaa namkumbuka. Alikuwa Zenji. Anapost na specs za kutosha.nilishakutana nao sana
HP envy core i 7 kwa 420,000
i phone xs kwa 600000 ( alafu alivyokuwa mpumbavu kaweka picha picha za iphone 8)
hawa watu wanawaliza sana dada zetu wanajua hawafuatilii sana hivi vitu