Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,120
Nimpe Dua'a ya kurejeshwa deni lake.. ila jutapeliwa/wizi sinazo!!Masikini kachukua kwenye mshahara afu ulikuwa bado wa moto
Nimpe Dua'a ya kurejeshwa deni lake.. ila jutapeliwa/wizi sinazo!!Masikini kachukua kwenye mshahara afu ulikuwa bado wa moto
Ni sawa na kada ya walozi, wengine wanakufa na wengine wanazaliwa.Human stupidity is infinite
Mkuu cheki hii kitu mfanyabiashara gani anazui comment section kwenye bidhaa yakeBasi kuna mtu akanasa.
Viashiria vya utapeli vipo all the way kuanzia tangazo mpaka walivyoanza kuwasiliana ila jamaa akang'ang'ana tu mpaka akapigwa.
From nowhere anamwambia mimi ni polisi na hii ni namba ya mke wangu ikitokea nimekudhulumu.
Still jamaa akafosi kutapeliwa.
Hahaa kweli mkuukhaaaaa....
Yaaani ukishaona Mtu anauza bidhaa hasa electronics Anadai ana Duka na ni nje ya Dar halafu haanzi kwa kutaja exact location Anajinadi kusema popote tunakutumia, Anza kutumia akili yako vizurii....
Wanatumia trick ya nje ya dar hasa zanzibar maana wanajua Ni ngumu kuifuata,
Na anajua wateja wengi wapo Dar, au Ana ndugu Dar, hivyo akikuambia yupo Dar ni simple tuu utahitaji kumuona au kutuma mtu.
Huyo ni tapeli, hauzi simu na Asilimia kubwa yupo Dar...
Ila vitu vingine ni kujiongeza tuu, sasa kweli mtu anakuambia Anauza simu, yupo Manyara, Tabora, Iringa(kupatana wamejaa hawa) Ukiangalia Mazingira ni bonge ya Duka, Bei nayo hata ya China haioni ndani....
Khaaa sasa kweli kweli kwelii mtanzania mwenzangu Duka la Simu bei chee likose kote kwa kukaa likae Mara?????
Tobaaa....Yani huyo ana namba zaidi ya 20 za majina fake ya miamala na anatumia cm zaid ya moja na anatumia VPN pia kablock comments baada ya kuona watu wanacomments sana lawama na ukituma tu pesa anakublock kikubwa zaidi anajiamin sana kwenye wizi wake naweza kusema kua yuko smart kwenye hii idara ya wizi na teknolojia hapo tafuta mtu anaewezana nae na hana namba inayopatkana na ukipga whatsapp anakata na picha anazopost kwenye page anazitoa kwenye page moja duka ambalo lipo Lagos Nigeria
Hao jamaa wameweka location ya duka lao kuwa lipo Mwemberadu, mimi nipo huku Zanzibar na Mwemberadu kuna jamaa yangu anaishi hapo. Mwemberadu yote hakuna duka la simu, kuna maduka ya vifaa vya magari (motor vehicle used spare parts), maduka ya TV used na mpya pamoja na maduka ya vifaa vya nyumbani. Halafu kwenye account yao ya Instagram wamezuia comments jiulize kwanini.Mkuu ndio wenyewe hao wamentapeli jaman[emoji22]
Hapo umemaliza mkuuPole Mkuu sema ungeanza kuuliza huku Ijumaa hiyo ungepata majibu sema usitume fedha kwa njia hizo mpaka ujiridhishe na usalama wa pesa zako kwanza na pia hizo used nunua ukiiiona maana hata angetuma mbovu bado ungepata hasara.
Na pia ukiwa hela ndogo Kama zangu nunua simu mpya unayoiona jina lolote usiwasikilize wapiga mbiu wa iPhone muda wake ukifika utanunua popote bila hata kuagiza...
Ulichokifanya ni sawa na ILE PESA WEKA KWENYE NAMBA HII...pole MKUUWakuu kwema..
Mambo ya online business kuna page Instagram wanauza iPhone, nikachati na muuzaji anauza simu used kutoka UK nilitaka iPhone 7+ wao wanauza 450,000 nikawaomba wakanipunguzia mpka 430,000 ijumaa ya tarehe 22 nikawatumia pesa kwa tigo pesa wakala ...
Mwenyewe anadai duka lipo Zanzibar simu ukisha order inakuja na boat ya mchana kwa maelezo yake.... Nilivotuma hiyo pesa aka confirm kwamba kapokea akiniahidi kwamba atanipa mamba ya mtu anaefanya delivery huku Dar ndo maongezi yakaishia hapo...
Kila nkimwambia anitumie hiyo namba kimya na kaniblock jamani naombeni msaada nataka niende police je kuna utaratibu gani huko kwa kesi za kutapeliwa mtandaoni....?? Naombeni muongozo karibuni
With deep regrett and without respect..Kwanini mnapenda kuingiza ukabila?? Na kupandikiza sumu hii inayo tapakaa ktk jamii... Tuwe wastaarabu hata 20% !!
Samahani kama nimekwaza hisia ya mtu!!
Hivi ndiyo viashiria vyenyewe sasa. Yet mtu anaingia kichwa kichwaMkuu cheki hii kitu mfanyabiashara gani anazui comment section kwenye bidhaa yakeView attachment 1461445
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatuabisha ma expert members mkuu.Wakuu kwema..