Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]wivuAliingia kichwa kichwa eti sijui nikufanyie nini nikamwambia tafuta bwana nawewe upeleke kwa wenzio wakamfanyie hayo, na nikapiga marufuku kuingia humo [emoji7][emoji7]
[emoji16][emoji16][emoji16]
Hiv mwanaume unawezaje kushikwa shikwa na demu alaf umuache hivihiv bila kumranda?
[emoji16][emoji16][emoji16] ungemchangamsha na viwili vitatu...analeta mchezo na usingizi wa watuAcha tu, usingizi wangu karudi kama jana mwaka hayupo, tunafika humo turekebishe kichwa na ndevu, sasa kule kuingia huko kumfuta nywele, kaanza ohoo sijui nini nami naingia nilimuwakia kama mwewe .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wivu muhimu[emoji23][emoji23][emoji23]wivu
[emoji23][emoji23][emoji23] alijificha vyumbani huko yeye mwenyewe uso wake umemjaa machunusiii kibao[emoji16][emoji16][emoji16] ungemchangamsha na viwili vitatu...analeta mchezo na usingizi wa watu
Halafu kutwa kufanyia wengine scrub[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1][emoji1][emoji1]
Nilikutana nao wadada wa namna hiyo nadhani ni mtaa wa Kambarage jijini Mwanza, next to Vizano hotel. Baada ya kunyoa nilikakataa scrub na kuoshwa, nikawaambia naenda kuoga muda si mrefu.They are strategically placed to suck cash out of you.
Acheni mliwe tu. Kwani hampendezi mkitoka humo?
Wana ushawishi utafikiri wametoka TangaUnamaliza, anaitwa binti akuingize kwenye chumba, unajua unaenda kuoshwa, lakini anakukalisha kwenye kiti.
"Nikufanyie skrabu"
"Hapana, labda siku nyingine"
"Inaonekana hujafanya skrabu siku nyingi. Hapa tuna skrabu ya coffee, ni nzuri sana. Ngoja ujaribu leo. Halafu nakuweka na chumvi."
Hivi unajua gharama ya bao moja Sinza! 80,000 mkuu, hapo utachagua kuitoa hiyo hela ama kuacha jicho[emoji16][emoji16][emoji16]
Hiv mwanaume unawezaje kushikwa shikwa na demu alaf umuache hivihiv bila kumranda?
Na Lile para lako bro, uli paswa unyolee shoka😆🤣Bei yangu ya kunyoa mpaka dakika hii mwaka huu 2024 ni maximum.of 3,000/= occasionally.
But always ni 2,000/=
Sinyolei machine, nanyolewa kisu(kile kijichuma unapachika wembe) au wembe straight ili kupata upara original unao meremeta
Wembe ni shillingi 200(mia mbili).
Nikulipe elfu 5 (5,000) for what reason.