Kuwa makini na Apps za Mikopo

Hao matapeli usijjchanganye watakwambia sijui uwatumie kiasi cha pesa sijui cha form ujaze usijaribu
 
Kwa hizi comment inaonyesha watanzania wengi wasivyo waaminifu hata tubadilisheje viongozi tunaweza kupata wale wale
Maana wizi na ufisadi huanzia kwenye mamillion
 
Branch riba zao zikoje ,,mfano ukikopa million ndani ya mieI mitatu unarudisha sh ngapi?
 
Branch riba zao zikoje ,,mfano ukikopa million ndani ya mieI mitatu unarudisha sh ngapi?
Nathani branch walisitisha huduma za kutoa mikopo Sina uhakika kama wamerudi ila riba Yao ilikuwa ndogo sana kuliko kampuni zote za kukopesha mtandaoni
 
Mleta mada,mada yako haikukamilika ili tuchangie vyema,japo nashangaa watu wanatiririka,ni ajabu!!,sijui wasemacho ndicho ulichokusudia au mimi ndo uelewa wangu uko chini?,
 
Walikuwepo Tala wakakimbia.

Hawa nao watakimbia japo watakuwa wamefaidi maana riba za 20% si haba.

Eti ukope 1,000,000 ulipe 1.2 kwa wiki
App gani huko wanakopesha 1m 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…